Akina mama/dada muogopeni muumba jamani

Asante sana, nilitaka nikugongee thanks ila kitufe sijui kimeyeyukia wapi hukooo, so somo limeleweka teach others too.

sina interest na thanks,do not bother....nitawafundisha wale ninaokutana nao wenye tabia kama hii.....wenye uwezo wa kuwafundisha ni wanaume kama wewe mnaotongozwa,kwa kutokubali matakwa yao.....:confused2:
 
Hahaaaaaaa, hata kama angerudi kuwa bikra tena!! kwanza huyu nilie nae nimwambieje? Aaah nyie hamumfahamu huyu eeeh
 
Well said dear.....hapo BLUE, waga analysis inafanyika kabla,na namna ya ku handle challenge zinazojitokeza pia zipo.....!!
 
Kwa sababu ni mwanamme tena binadamu mwenye nyama naweza kuwa dhaifu lakini dada zangu jamani sio kwa kiasi hicho, mpaka kaka yenu nimesema haya mjue basi mambo magumu; udhaifu wangu ni kwamba siwezi kuacha kujibu text ya mtu, hilo nalijua ila ndani ya ujumbe huo kunakua na maneno ya kumkatisha tamaa but hyuy mwenzenu niking'ang'anizi sijpata ona, eehj jamani
 
Hahaaaaaaa, hata kama angerudi kuwa bikra tena!! kwanza huyu nilie nae nimwambieje? Aaah nyie hamumfahamu huyu eeeh

acha kujidai innocent Elli, we hujui ungemwambiaje huyo uliyenae? sihitaji kufahamu mwanamke uliyenaye kuku judge wewe kama mwanaume.......mwanamke ni mwanamke tu,hata angekuwa kama Cleopatra au Marilyn Monroe, tamaa ziko pale pale,Mungu akusaidie!!
 
Hahaaaaaaa, hata kama angerudi kuwa bikra tena!! kwanza huyu nilie nae nimwambieje? Aaah nyie hamumfahamu huyu eeeh

Kwahiyo kumbe woga tu kwa huyo uliyenae ndo unakuzuia na sio kwamba hutaki???
 
l.o.l....maneno ya kukatisha tamaa roho iliyodhamiria kufanya dhambi ndo kama yapi????
acha kumjibu,acha kusingizia udhaifu......huko ni kuendekeza mambo....:whistle:
 
Kitendo to cha wewe kumjibu na kesho akarudia tena kinaonyesha unaendekeza na kufurahia.Hivyo subiria subiria muda kidogo kama hujaja hapa kutueleza jinsi ex wako alivyokishawishi kuingia dhambini na mkeo kagundua sasa unataka msaada wa jinsi gani uepuke shari!!!
 
acha kujidai innocent Elli, we hujui ungemwambiaje huyo uliyenae? sihitaji kufahamu mwanamke uliyenaye kuku judge wewe kama mwanaume.......mwanamke ni mwanamke tu,hata angekuwa kama Cleopatra au Marilyn Monroe, tamaa ziko pale pale,Mungu akusaidie!!
Dada, sijasema mimi ni Innocent ila huwa siwezi kudanganya yaani nakosa amani kabisa, halafu kwakua vile vitu huwa vinaendana na emotions so hua nikapata text yake na-loose kabisa. Namheshimu huyu na pia naogopa mengi. Mimi pia ni dhaifu ni kweli na sijasema niko Innocent...u nver know when you will sin; it just happens....lakini kama kuna vijinafasi vya kusemea si ndio tunasema ili mizigo ya moyoni ipungue? Ni kweli MUNGU anipiganie.
 
Kwahiyo kumbe woga tu kwa huyo uliyenae ndo unakuzuia na sio kwamba hutaki???
Yaani kila neno nianlosema kwenu lina maana zaidi ya moja! Sasa nisemeje sasa but woga ninaomaanisha hapa una maana kubwa zaidi.....
 
Ukipata text yake una-loose ehhh??!Haya sasa kashakukamata emotionally subiria tu siku ya kuongozana gesti!!
 
Mmh nyie wanawake nyie mbona kama vile sasa mnamtetea huyo dada? Nieleweni jamani, mimi simhitajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Umenikera kwa kujumuisha wadada/wanawake wote!!

Nwy cha kufanya we ondoa mawasiliano naye tu basi.Tulia kwao nae kama hawezi kufanya hivyo atafute anaefanana nae wavunje viapo vyao pamoja!

AmeniPM wewe haumo! Lol
 
He is just a man....:majani7:

Hahhaha!Maakini Elli wa watu anadai eti kila anachosema tunaona maana zaidi ya moja!!Tunamuonea ehhhh???

Elli tusipofanya hivyo na sisi tutakua tunakuendekeza kama we unavyomuendekeza mdada wakati hatutaki uanguke kusiko!!!
 
Ukipata text yake una-loose ehhh??!Haya sasa kashakukamata emotionally subiria tu siku ya kuongozana gesti!!
Hahahaaaaaa, hata gesti kukiwa na bei ya promosheni nasema siendiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, Kha, nyie akina mama vipi? Kwani nina viungo vingapi mie hadi kila mwanamke nilale nae?? sitaki nasema sitaki jamaniiiii
 
Hahhaha!Maakini Elli wa watu anadai eti kila anachosema tunaona maana zaidi ya moja!!Tunamuonea ehhhh???

Elli tusipofanya hivyo na sisi tutakua tunakuendekeza kama we unavyomuendekeza mdada wakati hatutaki uanguke kusiko!!!
Great Lizzy, be blessed, nimekuelewa mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…