Akina mama/dada muogopeni muumba jamani

Ni kweli inakera sana Elli (Kumbujka pia kuna wanaume ambao wanakuacha kwa kukuona hufai, ukiolewa na mwingine na kupendeza anaomba kukumbushia!)

Lakini Elli mpaka amefikia hatua ya kukusumbua namna hii, kuna some positive signs ulizokuwa unamwonyesha! What if baada ya kusikia ameolewa na alipokupigia na kukueleza nia yake hiyo chafu usimdelete kabisa? why unapokea simu zake? why unajibu sms? why usimpotezee au hata kuchukua hatua ya kumweleza mumewe kama anakukera kiasi hicho??
 
Hebu pitia tena hoja uliyoianzisha kama unaomba mawazo au unatoa somo kwa wakina dada, mweeh!!..eniwei, kama unamaanisha ulichosema usimpe nafasi na kama ni ngumu mshirikishe mkeo. Wangekuwa wanaume wote kama wewe mbona ingekuwa raha!!
 
Mpwa bana, haya nimekuelewa bana, yaishe.....toa na wewe mawazo yako. Asante Belinda
 
Ndio nakubali kabisa lakini...positive signs kwako sio na lazima kwangu ziwe ni positive pia zaweza kuwa neutral, so mimi hata tikuchati kiasi gani huwa nachukulia ni hali ya kawaida tu...asante kwa kuchangia pia
 
Mpwa bana, haya nimekuelewa bana, yaishe.....toa na wewe mawazo yako. Asante Belinda

Mpwa ushauri wangu ni kuwa 'walk the talk' hilo tu kamanda...naamini nimesomeka!..Cheers..!
 
Pole kwa usumbufu unaopitia,pia asante kwa kutukumbusha kuzidi kuwa na hofu ya Mungu 😛ray:
 
Ndio nakubali kabisa lakini...positive signs kwako sio na lazima kwangu ziwe ni positive pia zaweza kuwa neutral, so mimi hata tikuchati kiasi gani huwa nachukulia ni hali ya kawaida tu...asante kwa kuchangia pia

Ni kweli but ninachomaanisha hapa STOP entertaining her if she is really disturbing you.
 
I promise kuwapa feedback nitakapokuwa nimemwambia, kweli I promise to do so.....ngoja nisubirie text yake maana amesema atanitumia sms ya salam leo japo nachelewa kumjibu.....

ulikuwa unasubiri nini kumwambia ukweli cku zote?mi naamini ungekuwa serious kumwambia asingekusumbua vinginevyo na ww ulikuwa unaona ka-ujiko flani hivi..lol
 
ulikuwa unasubiri nini kumwambia ukweli cku zote?mi naamini ungekuwa serious kumwambia asingekusumbua vinginevyo na ww ulikuwa unaona ka-ujiko flani hivi..lol
hahahaaaaa mwili huuu jamani!!! yaani hata mtu akianza kutuma sms tu, nimjibu vibaya kisa nataka kumwonyesha kuwa niko serious? Sikuumbwa hivyo ndipo tatizo linapokuja hapo.....ok, thanks pia
 
ni vema ukauheshimu mawazo yako na imani yako.au akiendelea mwambie utamjulisha mumewe.
 
hahahaaaaa mwili huuu jamani!!! yaani hata mtu akianza kutuma sms tu, nimjibu vibaya kisa nataka kumwonyesha kuwa niko serious? Sikuumbwa hivyo ndipo tatizo linapokuja hapo.....ok, thanks pia

Elli nani alikuambia kuwa siriaz ni kumjibu mtu vibaya?onyesha kuwa unamaanisha kile unachokisema,n still u can remain as gud friends,cheers
 
hahaahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Elli nani alikuambia kuwa siriaz ni kumjibu mtu vibaya?onyesha kuwa unamaanisha kile unachokisema,n still u can remain as gud friends,cheers
Sorry, just misconceptions!! Thanks and be blessed
 
The same applies kwa wanaume wanaosarandia ma-ex wao bila kujali kuwa wao wameoa au hao ma ex wameolewa.

Text message na simu saa sita usiku inahuu!
 
Reactions: Mbu
The same applies kwa wanaume wanaosarandia ma-ex wao bila kujali kuwa wao wameoa au hao ma ex wameolewa.

Text message na simu saa sita usiku inahuu!

...LOL! Freema bana!...mwenzio 'anakumbukia!' mida hiyo mlipokuwa pamoja!
Mawazoni mwake anahisi mida hiyo utakuwa busy, akikupigia atakukatiea stimu.

Msamehe tu...:whistle:
 
Haya kwa wale waliokuwa na mahusiano kabla ya waliokuwa nao wamjibu elli, oooopsnashkuru kikombe hiki kimenipitia kando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…