Jamaa kaongea ukweli Ingawa sijapenda
Hiyo desturi au tuite tamaduni yao.
Kuonesha furaha au shukrani kwa kugalagala au wakati mwingine huongezea kwa kulala kifudifudi chini kisha huyo wanaye mpokea kwa furaha hutembea juu ya migongo yao kama vile walivyo mfanyia Nape Nauye kule jimboni kwak