Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Jamaa kaongea ukweli Ingawa sijapendaAcha uongo lindi na mtwara hakuna mila iyo ila Lindi wilaya ya ruangwa Kun kikundi cha kinamama na vijana wa ccm kinaitwa galauka kazi yao huwa ndio hiyo kugalagala chini ila sio mila
Hiyo desturi au tuite tamaduni yao.
Kuonesha furaha au shukrani kwa kugalagala au wakati mwingine huongezea kwa kulala kifudifudi chini kisha huyo wanaye mpokea kwa furaha hutembea juu ya migongo yao kama vile walivyo mfanyia Nape Nauye kule jimboni kwake.