Naomba mtuambie hapa, wanajukwaa haswa sisi wanaume walaji wa mapishi yenu, kwenye mchuzi wa chachandu, mpaka mnapotuandalia, maini na vipaja vya kuku, raha zake na vitumbua, mix nyanya hata kwenye roast, mkuje hapa mtuambie nyanya zina siri gani, kubwa mpaka mpende hiko, kiungo na bado hata kwenye mabamia, mnaunga mpaka na, nyanya chungu, zote mnapenda mpaka nyanya baridi, njooni mtuelezee akina hapa wa mama wote, maana walaji ndio sisi hapa wakina baba. Tunataka tujuwe. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji125] [emoji124] [emoji12] [emoji12] [emoji15]