Akina mama kwa nini mnapenda kiungo cha nyanya kwenye mchuzi,,,,

Akina mama kwa nini mnapenda kiungo cha nyanya kwenye mchuzi,,,,

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Naomba mtuambie hapa, wanajukwaa haswa sisi wanaume walaji wa mapishi yenu, kwenye mchuzi wa chachandu, mpaka mnapotuandalia, maini na vipaja vya kuku, raha zake na vitumbua, mix nyanya hata kwenye roast, mkuje hapa mtuambie nyanya zina siri gani, kubwa mpaka mpende hiko, kiungo na bado hata kwenye mabamia, mnaunga mpaka na, nyanya chungu, zote mnapenda mpaka nyanya baridi, njooni mtuelezee akina hapa wa mama wote, maana walaji ndio sisi hapa wakina baba. Tunataka tujuwe. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji125] [emoji124] [emoji12] [emoji12] [emoji15]
 
Nakumbuka usukumani bibi alikuwa hatumii nyanya, yawezekana kula ugali au wali na mboga isiyo na nyanya...
 
Back
Top Bottom