Asavali....Kinadada hatuhisiki hapo.....!!!!!
Hahahaaa watu8 mbona unaongea matobo mbele ya mkeo na mwanao charminglady ?
Hahaha we ongeza tu labda mwenzangu una vifanyio kama vidole vya mkono...
Mwenzako ninacho kimoja tuuuu!!!
Love you more darlingBora weye uliye mwenyewe...vitamu vyote wala peke yako kwa nafasi.
Love uuuuu!!!
Hahahaa...Watu8 unankosha!!