Akina mama siku hizi....mitego tupu!

Mimi naona zile castle lite ulizokuwa unazinywa zilihamisha mawazo yako kwa yule mama. Akili ikawaza visivyotakiwa kuwaziwa kwa muda ule. Ulitakiwa umwamkie shikamoo na kutomuangalia morphology yake.



Sinywagi vitu vyenye majina Lite au vinavyosadikika kuwa ni Lite.
Si kwamba nilihamishia mawazo kwake bali yeye ndo alinihamisha.....tatizo nyie hamjamuona ndo maana hamjui ilikuwaje.




Yanapata upepo yakhe..unapenda harufu yake hata kama nimepaka limao?? heeee[/QUOTE]
Of koz yes, tena yakiwa natural odour.
 
sasa mitego imetoka wapi hapo?

Tamaa yako ndo inakufanya uwe wima mpaka sasa...
 
USIONE VINAELEA, VIMEUNDWA!!!!!!!! Tafuta nawe uunde.
 
Kama huyu ndio wewe Belinda na recall PM zangu zote. By ze way happy new year

Heee! ulipotelea wapi Nguli,happy new 2012 nawe pia. Naamini umeuanza vyema kabisa! Huyo ndiyo Belinda mwingine photocopy🙂)
 

Ukaenda kumalizia kwa kupiga "punyeto"...balaaa
 
Wakware utawajua tu, mitishamba kwani na wewe m.kwere?
 
Wakware utawajua tu, mitishamba kwani na wewe m.kwere?

msinihukumu jamani, yule mama ni balaa, watu wote walibaki wameduwaa.
Jana jioni nilitia timu pale, nimeambiwa huwa akosekani, tena jana tulikosana kidogo tu...wanadai jana ndo alikuwa ndembendeme!
Kuanzia leo nitakua sibanduki kiwanja kile hadi nionje ladha ya lile tunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…