mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
- Thread starter
- #41
Kwa nini niunde wakati tayari vipo vilivyoundwa....ndo mana tunaendesha magari yaliyotengenezwa na wajapani, ndege za wamarikani..............USIONE VINAELEA, VIMEUNDWA!!!!!!!! Tafuta nawe uunde.