Akina RC, KKKT, SDA na Anglican msimchukie tu Mwamposa, bali jiulizeni mmekosea wapi na kawazidi nini sawa?

Mtu anatumia miti shamba kusafisha nyota za waumuni na mnaamini kwamba ni miujiza.

Mwamposa anatumia tiba asilia ya chumvi, amdalasini, mimea karafuu na majani ya mdalasini na maji ya mvua.

Kwani mnashindwa kuvitumia hivi nyumbani?

RC wenyewe yale maji ya baraka ni maji ya mvua wanayachanganya na chumvi.
Hapo Kwenye RC umedanganya.
 
GENTAMYCINE kuhusu kuhudhuria Jumuia na Michango kama huwezi si vyema kupotosha wengine.
Sala za Jumuia ni muhimu Kwa ukuaji wa Kiroho katika jamii, pia hudumisha undugu katika Kristo Yesu Mwana Wa Mungu Aliye Hai, Yeye aliyefanyika Mwili Kwa ajili Yetu, akakaa Kwetu.

Michango Yote ndani ya Kanisa Katoliki tunaiona Matumizi yake na haipo kumnufaisha mtu yeyote Binafsi.
 
"watatokea manabii nao watafanya miujiza yao, infact mtego wetu ni tuwashinde manabii hawa wa uongo, wanaoitumia biblia kama ngao yao katika kufanikisha aina ya ujuzi wao wa kiganga, infact hawa ni waganga wa kienyeji katika mfumo wa siri mno, nadokeza kidogo, ukienda kwao umerogwa aidha una shida inayousiana na uchawi utapona, wanazo nguvu zao nzito kabisa za kuondoa mapepo "kiganga" kwani maeneo yao ya makanisa huwa na nguvu kubwa zimetegwa, na pia mapepo yametegwa, key :- au ufunguo huwa nao pale mtumishi, (circles) trickly!, wakati waumini wakiingia kanisani huweza kuwaachia baadhi ya mapepo, yakawaingia watu, na anapoanza maombi huweza kuyakaribia, yakaamka na kuyafukuza (circulae accomplished).
Wakristo ni mafarisayo sana mnasoma biblia kina Paulo walifanya Miujiza na mnaamini LAKINI akija mtumishi wa Mungu akifanya Miujiza,uponyaji mnamuita mganga mara nfanya mazingaombwe nyie hamna tofauti na waliomsurubisha Yesu…….blind pharisees…..
 
Baadhi yenu baada ya kusikia leo Mwaposa ana Ibada yake ya Mkesha ya Vuka na Chako ( ambayo Demu wangu Kaniwakilisha ) mlivyo na Wivu, Chuki na Roho Mbaya zenu nanyi kwa Makusudi mkaandaa Mikesha yenu ili Waumini wenu wasiende Mkeshani Tanganyika Packers Kawe.

Haya nyie KKKT. Kawe kwa mfano oneni sasa Mlivyoumbuka kwani pamoja nanyi kuandaa Mkesha wenu Usiku huu hadi hivi sasa GENTAMYCINE naandika huu Uzi nachungulia Kanisa lenu naona hakuna Waumini kabisa huku Wanakwaya wenu wakiamza kupiga tu Miayo na wengine Wakitongozana na Walinzi wenu wakiwa Wanalijadili tu na Kulisifia Tamasha la Mwaposa linaloendelea sasa.

RC, KKKT, SDA na Anglican msichokijua tu ni kwamba Utajiri mkubwa wa Waumini wa Mwaposa ni wale waliokuwa Waumini wenu Kimadhehebu hivyo GENTAMYCINE nawaombeni kaeni chini mjiulize mmekosea wapi mpaka Jamaa ( Mwaposa ) amewapigeni na anaendelea Kuwapigeni Bao kwa Kukubalika na Kuaminika Kwake.

Binafsi RC ( Dhehebu langu tukuka ) kama kuna Kitu mnanikwaza GENTAMYCINE ni Kauli yenu ya Kibabe kuwa kama hatuhudhurii Ibada za Jumuiya za kila Jumamosi na hatutoi Michango yenu mnayoibuni kila mkiamka na mkijisikia basi Tukifa wala hamtopoteza muda wenu kuja Kutuombea achilia mbali kuja katika Misiba yetu tukiwa Majenezani tukisubiria kwenda kuyaanza Maisha yetu mapya tukiwa peke yetu chini ya Ardhi / Udongoni.

Haya nyie Wanakwaya wa KKKT Kawe baada ya Mkesha wenu Kudoda / Kuwadodeeni nawashaurini fungeni tu hilo Kanisa lenu na mpelekeeni huo Ufunguo Mchungaji wenu ambaye namuona Kisirisiri ( kwa Kumchungulia ) nae akiwa glued katika Tv yake iliyo Ukutani akifuatilia Mubashara kabisa Mkesha wa Mwaposa wa Vuka na Chako.

Hakika Mwaposa anawanyoosheni!!

Breaking news: Mtoa mada hayupo Dar wala hajawahi kufika Dar..So habari yake ipuuzwe
 
Kwa Mwamposa waumini 90 % ni wanawake.

Wanawake ni rahisi sana kuwakamata vichwa kwa mambo ya miujiza, kwa kulijua hili watu wa mazingaombwe wamejipenyeza makanisani kuwawehua wanawake, wanawake wengi wana vichwa vyepesi sana mambo ya imani

Mafuta yanauzwa laki, Keki ya upako inauzwa sh ngap [emoji28] [emoji28]
Wanawake wanaendeshwa kwa hisia ndio maana wao ndio vinara wa miujiza
 
GENTAMYCINE kuhusu kuhudhuria Jumuia na Michango kama huwezi si vyema kupotosha wengine.
Sala za Jumuia ni muhimu Kwa ukuaji wa Kiroho katika jamii, pia hudumisha undugu katika Kristo Yesu Mwana Wa Mungu Aliye Hai, Yeye aliyefanyika Mwili Kwa ajili Yetu, akakaa Kwetu.

Michango Yote ndani ya Kanisa Katoliki tunaiona Matumizi yake na haipo kumnufaisha mtu yeyote Binafsi.
Acha uongo jumuiya unaenda ili ukitokea msiba kwako ama sherehe upate ushirikiano wa wana RC…….unasemaje unakua kiroho akati ndani yako unajua sio kweli….umekua kiroho kufika level zip mfano
 
SDA hatuna mikesha na hakuna muumini aweza kwenda huko nikupe pole kwa utafiti wako! Labda ambaye hajakomaa kiimani na huyo hana ushirika kanisa lo lote lile! Bado anajitafuta!
 
GENTAMYCINE kuhusu kuhudhuria Jumuia na Michango kama huwezi si vyema kupotosha wengine.
Sala za Jumuia ni muhimu Kwa ukuaji wa Kiroho katika jamii, pia hudumisha undugu katika Kristo Yesu Mwana Wa Mungu Aliye Hai, Yeye aliyefanyika Mwili Kwa ajili Yetu, akakaa Kwetu.

Michango Yote ndani ya Kanisa Katoliki tunaiona Matumizi yake na haipo kumnufaisha mtu yeyote Binafsi.
Naomba kujua Logic behind kuwa nikiwa sihudhurii Jumuiya kila Siku za Jumamosi nikifa Kanisa Katoliki haliji Kunisalia na Kuniombea.

Hivi Mwenyezi Mungu nae mwenye Dini yake na hii Dunia yake yote angekuwa na Vitisho kama hivi vya Kanisa Katoliki kuna Mtu angesalimika?

Hivi Kiimani Mtu wa Mungu anatakiwa atishwe Kipumbavu ( Kipopoma ) kama mfanyavyo RC's au anatakiwa Ashawishiwe na Abembelezwe ili aone Fahari kuwa mwana Jumuiya na Muhudhuriaji?

Sihudhurii Jumuiya zenu kutokana na hili Tishio lenu na ikitokea nimekufa hata kama Kanisa Katoliki litakataa kuja Kunisalia watakaokuwepo Watanisalia na nina uhakika kwa Mema niliyoyafanya hapa duniani nitapokelewa Fasta Sebuleni kwa Mungu Baba huku nyie Wanafiki mkiishia kukaribishwa nje na Stoo huku akisubiria zamu yenu ya Kuchomwa Moto kwa Dhambi zenu mnazozifichia kwa Vazi la Imani Takatifu na Kusali kila mara.
 
Acha uongo jumuiya unaenda ili ukitokea msiba kwako ama sherehe upate ushirikiano wa wana RC…….unasemaje unakua kiroho akati ndani yako unajua sio kweli….umekua kiroho kufika level zip mfano
Huwa napenda sana kukutana na JamiiForums Genius Members kama Wewe Mkuu. Heko kwa hiyo Dozi uliyompa Mnafiki huyo wa RC Kwetu.
 
RC wala hatuna muda nae wala hatumchukii ila hatukubali katika utume wake. Ni kama tusivyokubali ubatizo wa wa makanisa ya pesa,Fpct, SDA, na mengine yote yasiyobatiza kwa kutumia UTATU MTAKATIFU
RC ni mapokeo ya tamaduni za Kirumi zilizovishwa taswira ya kidini tu.
 
Naomba kujua Logic behind kuwa nikiwa sihudhurii Jumuiya kila Siku za Jumamosi nikifa Kanisa Katoliki haliji Kunisalia na Kuniombea.

Hivi Mwenyezi Mungu nae mwenye Dini yake na hii Dunia yake yote angekuwa na Vitisho kama hivi vya Kanisa Katoliki kuna Mtu angesalimika?

Hivi Kiimani Mtu wa Mungu anatakiwa atishwe Kipumbavu ( Kipopoma ) kama mfanyavyo RC's au anatakiwa Ashawishiwe na Abembelezwe ili aone Fahari kuwa mwana Jumuiya na Muhudhuriaji?

Sihudhurii Jumuiya zenu kutokana na hili Tishio lenu na ikitokea nimekufa hata kama Kanisa Katoliki litakataa kuja Kunisalia watakaokuwepo Watanisalia na nina uhakika kwa Mema niliyoyafanya hapa duniani nitapokelewa Fasta Sebuleni kwa Mungu Baba huku nyie Wanafiki mkiishia kukaribishwa nje na Stoo huku akisubiria zamu yenu ya Kuchomwa Moto kwa Dhambi zenu mnazozifichia kwa Vazi la Imani Takatifu na Kusali kila mara.
Bwana Genta, Kanisa Moja Takatifu Katoliki La Mitume hutoa huduma za Kiroho Kwa wakatoliki wanaojishughulisha na mambo ya Kiroho. Hivyo endapo hujishughulishi na mambo ya Kiroho ungali hai basi Jumuia hii haitahusika na wewe sababu hukujihusisha nayo. It is fair utazikwa na unaoshirikiana nao.
 
Eti mazingaombwe kna jirani yanu mu RC alienda kijini kwao wakamroga ndio alielewa ni mazingaombwe au ni nguvu za Mungu naye alikuwa kama type yako subiri upate changamoto za kiroho utaelewa
"watatokea manabii nao watafanya miujiza yao, infact mtego wetu ni tuwashinde manabii hawa wa uongo, wanaoitumia biblia kama ngao yao katika kufanikisha aina ya ujuzi wao wa kiganga, infact hawa ni waganga wa kienyeji katika mfumo wa siri mno, nadokeza kidogo, ukienda kwao umerogwa aidha una shida inayousiana na uchawi utapona, wanazo nguvu zao nzito kabisa za kuondoa mapepo "kiganga" kwani maeneo yao ya makanisa huwa na nguvu kubwa zimetegwa, na pia mapepo yametegwa, key :- au ufunguo huwa nao pale mtumishi, (circles) trickly!, wakati waumini wakiingia kanisani huweza kuwaachia baadhi ya mapepo, yakawaingia watu, na anapoanza maombi huweza kuyakaribia, yakaamka na kuyafukuza (circulae accomplished)
Wakristo ni mafarisayo sana mnasoma biblia kina Paulo walifanya Miujiza na mnaamini LAKINI akija mtumishi wa Mungu akifanya Miujiza,uponyaji mnamuita mganga mara nfanya mazingaombwe nyie hamna tofauti na waliomsurubisha Yesu…….blind pharisees…..
Kila nafsi imepewa akili,na tafakari basi enenda na kile uaminicho, Ubarikiwe Sana!
-Sabath tov!
=========
 
Kukosa maarifa na kutokufahamu undani wa mambo ni janga, wengi hufuata maji ya marangu water fall, mpaka wazungu "I don't know the secret of that water, lakini kwa dondoo kidogo yana tabia ya ku re new!, infact unakuwa mtu mpya,na matakataka yanakukaa pembeni!
-YAPO MENGI NATAMANI KUYAWEKA HAPA LAKINI HUENDA YAKAARIBU MIFUMU YA MANABII WETU HAWA WAPI (WAKISASA)
*LAY UNTO YOUR TRUTH LORD, TOA DHAKA NA SADAKA, HUTAPUNGUKIWA!
AMEN.
Hata ile dawa ya mbu ya kujipaka nimegundua ni alovera ndiyo maana ikigusa mdomoni ni chungu sana.

Mtengenezaji anakuambia usiweke mdomoni. Siri ya mtungi!
 
Hapo Kwenye RC umedanganya.
Nipe ukweli.

Halafu haya maji ya baraka huwa yanapatikana kwa wingi wakati wa Pasaka, na kipindi cha Pasaka kawaida mvua hunyesha, na hapo ndipo huyakinga na kuweka chumvi halafu watu wanagawiwa kwenye vyupa.
 
RC wala hatuna muda nae wala hatumchukii ila hatukubali katika utume wake. Ni kama tusivyokubali ubatizo wa wa makanisa ya pesa,Fpct, SDA, na mengine yote yasiyobatiza kwa kutumia UTATU MTAKATIFU

Mkuu PEFA, FPCT, TAG, ELIM na PHM wanabatiza kwa utatu Mtakatifu.
 
Baadhi yenu baada ya kusikia leo Mwaposa ana Ibada yake ya Mkesha ya Vuka na Chako ( ambayo Demu wangu Kaniwakilisha ) mlivyo na Wivu, Chuki na Roho Mbaya zenu nanyi kwa Makusudi mkaandaa Mikesha yenu ili Waumini wenu wasiende Mkeshani Tanganyika Packers Kawe.

Haya nyie KKKT. Kawe kwa mfano oneni sasa Mlivyoumbuka kwani pamoja nanyi kuandaa Mkesha wenu Usiku huu hadi hivi sasa GENTAMYCINE naandika huu Uzi nachungulia Kanisa lenu naona hakuna Waumini kabisa huku Wanakwaya wenu wakiamza kupiga tu Miayo na wengine Wakitongozana na Walinzi wenu wakiwa Wanalijadili tu na Kulisifia Tamasha la Mwaposa linaloendelea sasa.

RC, KKKT, SDA na Anglican msichokijua tu ni kwamba Utajiri mkubwa wa Waumini wa Mwaposa ni wale waliokuwa Waumini wenu Kimadhehebu hivyo GENTAMYCINE nawaombeni kaeni chini mjiulize mmekosea wapi mpaka Jamaa ( Mwaposa ) amewapigeni na anaendelea Kuwapigeni Bao kwa Kukubalika na Kuaminika Kwake.

Binafsi RC ( Dhehebu langu tukuka ) kama kuna Kitu mnanikwaza GENTAMYCINE ni Kauli yenu ya Kibabe kuwa kama hatuhudhurii Ibada za Jumuiya za kila Jumamosi na hatutoi Michango yenu mnayoibuni kila mkiamka na mkijisikia basi Tukifa wala hamtopoteza muda wenu kuja Kutuombea achilia mbali kuja katika Misiba yetu tukiwa Majenezani tukisubiria kwenda kuyaanza Maisha yetu mapya tukiwa peke yetu chini ya Ardhi / Udongoni.

Haya nyie Wanakwaya wa KKKT Kawe baada ya Mkesha wenu Kudoda / Kuwadodeeni nawashaurini fungeni tu hilo Kanisa lenu na mpelekeeni huo Ufunguo Mchungaji wenu ambaye namuona Kisirisiri ( kwa Kumchungulia ) nae akiwa glued katika Tv yake iliyo Ukutani akifuatilia Mubashara kabisa Mkesha wa Mwaposa wa Vuka na Chako.

Hakika Mwaposa anawanyoosheni!!

RC ipi inashida na mwamposa?. Mwamposa kaikuta RC na ataiacha.
 
Nipe ukweli.

Halafu haya maji ya baraka huwa yanapatikana kwa wingi wakati wa Pasaka, na kipindi cha Pasaka kawaida mvua hunyesha, na hapo ndipo huyakinga na kuweka chumvi halafu watu wanagawiwa kwenye vyupa.
Hukingwa kwa usafi
Huwekwa chumvi mbichi
Huombewa kwa mistari maalumu ya zaburi kwa siku 41, katika hali ya purity!,
Usije ukajichotea tu na kuweka chumvi. 😁😁
 
Back
Top Bottom