Acha ushamba dogo. Kwani Kuna kocha gani kakaa Simba milele?Bado kazi anayo anatakiwa ashinde ilo kombe kabisa au angalau afike fainali ndo tutamuelewa bila ivo mlango wa kutokea upo wazi kabisa
Ila game ya juzi mchezaji wa Sfaxien aliposhika mpira ndani ya 18 mat*ko yako hayakushawa kabisa.Simba kwenye kuzuia wako vizuri ila kule mbele Kamati ya ufundi ndio inacheza, Hakuna lolote ni ujanja ujanja tu.
Katika kitu msimu huu Simba wapo Bora ni Kamati ya ufundi na kuwakamata ma refa.
Yaani Ateba kaushika kabisa, lakini Refa akikumbuka kiloba Cha Sembe alichopewa hamwelewi mtu.
Kwahy kosa kosa za ssc kwako hukuzionaMpira wa ushindi wa goli moja huwa ni jambo la muda tu kabla hujakamatika.
Simba ya kimataifa huwa haichezi hivi kwa kubahatisha. Hii mechi ya jana wale Bravo wangetulia na zile nafasi walizokuwa wanapata tungekua tunaongea mengine saivi.
Hii defence ya Simba ikikutana na timu inayoshambulia muda wote mtajionea wenyewe.
Ruksa kunipinga ila udhaifu wa Simba umefichwa kwenye Calculator ya Yanga, ni suala la muda tu kabla ukweli haujadhihirika.
La mkono vipi ligi kuuu...Simba kwenye kuzuia wako vizuri ila kule mbele Kamati ya ufundi ndio inacheza, Hakuna lolote ni ujanja ujanja tu.
Katika kitu msimu huu Simba wapo Bora ni Kamati ya ufundi na kuwakamata ma refa.
Yaani Ateba kaushika kabisa, lakini Refa akikumbuka kiloba Cha Sembe alichopewa hamwelewi mtu.
Taja mechi walau moja tu ambayo Che Malone amejifunga goliAkina Che Malone kila mechi ni kijifunga tu.
Kwa maelezo hayo, hajajifunga.Ametoa asist mechi nne za kimataifa
Tripoli
Contantine
Exfan
Bravos
Yaani anaongoza kutoa assist kwa timu pinzani.
Timu zote za Kimataifa amezisaidia kufunga goli.
We huoni tatizo hapo?
Hoja Dhaifu Mnoo,,,Nadhani Ungefanikiwa Kukaa Kimya Ingalikuwa Vyema Mnoo.QUALITY ZA WACHEZAJI WA SIMBA NI NDOGO SANA.
USAJILI UMEJAA MADALALI NA 10% NYINGI.
Simba anapata Matokeo kwa Kubahatisha bahatisha na Bahati tu.
Mpanzu = budo= chasambi
Ngoma okejepha Debora wote ni Daraja moja tu.
Nalia kila siku simba anahitaji walau wachezaji 3 dirisha Dogo.
5.
6.
10.
Mpira ukimgonga mtu mkononi baada ya kugonga sehemu nyingine ya mwili sio handball.Jifunze sheria za mpira kabla hujaja hapa kuharisha.Ikiwa unaamini kamati ya ufundi ndio inacheza mpira basi wewe ni mpumbavu na shabiki wa kwenye kahawa Shabiki maandazi.Simba kwenye kuzuia wako vizuri ila kule mbele Kamati ya ufundi ndio inacheza, Hakuna lolote ni ujanja ujanja tu.
Katika kitu msimu huu Simba wapo Bora ni Kamati ya ufundi na kuwakamata ma refa.
Yaani Ateba kaushika kabisa, lakini Refa akikumbuka kiloba Cha Sembe alichopewa hamwelewi mtu.
Mpira wa Simba ni Sawa na "Cold blooded Animal" yaani Timu inacheza kulingana na Hali iliyopo siku iyo.Mpira wa ushindi wa goli moja huwa ni jambo la muda tu kabla hujakamatika.
Simba ya kimataifa huwa haichezi hivi kwa kubahatisha. Hii mechi ya jana wale Bravo wangetulia na zile nafasi walizokuwa wanapata tungekua tunaongea mengine saivi.
Hii defence ya Simba ikikutana na timu inayoshambulia muda wote mtajionea wenyewe.
Ruksa kunipinga ila udhaifu wa Simba umefichwa kwenye Calculator ya Yanga, ni suala la muda tu kabla ukweli haujadhihirika.
We jamaa kilaza Sana😆😆QUALITY ZA WACHEZAJI WA SIMBA NI NDOGO SANA.
USAJILI UMEJAA MADALALI NA 10% NYINGI.
Simba anapata Matokeo kwa Kubahatisha bahatisha na Bahati tu.
Mpanzu = budo= chasambi
Ngoma okejepha Debora wote ni Daraja moja tu.
Nalia kila siku simba anahitaji walau wachezaji 3 dirisha Dogo.
5.
6.
10.
Dah nyie ndo mnaipotoa watu cold bloody animals ndio wanaoregulate temp kwa hyo samaki ukimtoa kwenye maji anaishi dah ndugu kasome tena na umsome binaadamu ni cold or warn na ipi sifa ya binaadamu mara nyengn usikopi taaluma kuingiza kwenye mpira utaaibikaMpira wa Simba ni Sawa na "Cold blooded Animal" yaani Timu inacheza kulingana na Hali iliyopo siku iyo.
Hii ndio maana Simba inashinda kila mara! Huku wasioelewa wanabaki kusema Timu haijakutana na Timu eti inayoshambulia! Iyo Timu inayoshambulia iko wapi?
Kama utakuwa NI mwelewa basi sasa utakuwa umeridhika na kocha na mbinu zake za " Cold blooded Animal" Kwani NI muda sasa Fadlu huyu na mbinu zake hizo anaongoza NBC ligi. Fadlu huyo huyo keshaifikisha Simba kijiweni kwake "Robo fainali" Sasa umwelewi kivipi! Basi watu wanamna hii ata darasani mwalimu alikuwa na shida kumfundisha maana NI mgumu kuelewa.
Sasa Fadlu kashatufikisha kituoni ambapo kwetu sio issue " Robo fainali" usishangae akatusogeza mbele zaidi na mbinu zake hizo hizo. Nyie bakini kukariri maneno Tu kuwa HAJAKUTANA na Timu inayoshambulia, sijui nini! Wewe kalia hayo hayo Tu, Simba Inasonga Mbele!