Kumekuwa na vijimaneno vingi Tu toka Kwa "Walimu wa makocha" au sijui niwaite "wakosoaji wa makocha" hawana zuri hata kidogo wanachokiona Kwa makocha.
Wamekuwa wakimkosoa Sana Fadlu kuwa mara Hana Kikosi cha Kwanza, mara oho! Sijui sub zake hazieleweki lakini yeye anashinda Tu.
Na Leo amedhihirisha kuwa anaijua Simba vilivyo kuwa NI lazima ifike robo fainali kwani Kwa Simba sio issue! Haya mkosoeni tena