ntagunga
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 704
- 285
Nilikuwa namsikiliza Kikeke, akatoa taarifa ya jaji mmoja ambaye ametoa hukumu akitokea usingizini. Alipoulizwa kwa nini anatoa hukum akitokea usingizini, alisema yeye hakusinzia, bali alifumba macho akisikiliza proceedings kwa makini.
Na alimpiga jamaa mvua tano, hukum ambayo ameipinga na kukata rufaa, na jaji huyo katimuliwa kazi.
Akina wasira na komba tungekuwa tusha wasahau kama tungechukua move za namna hii.
Na alimpiga jamaa mvua tano, hukum ambayo ameipinga na kukata rufaa, na jaji huyo katimuliwa kazi.
Akina wasira na komba tungekuwa tusha wasahau kama tungechukua move za namna hii.
Last edited by a moderator: