Akina WASSIRA/KOMBA wapo wengi. Hakimu wa URUSI ahukum akitokea kuuchapa usingizi

ntagunga

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
704
Reaction score
285
Nilikuwa namsikiliza Kikeke, akatoa taarifa ya jaji mmoja ambaye ametoa hukumu akitokea usingizini. Alipoulizwa kwa nini anatoa hukum akitokea usingizini, alisema yeye hakusinzia, bali alifumba macho akisikiliza proceedings kwa makini.

Na alimpiga jamaa mvua tano, hukum ambayo ameipinga na kukata rufaa, na jaji huyo katimuliwa kazi.

Akina wasira na komba tungekuwa tusha wasahau kama tungechukua move za namna hii.

Last edited by a moderator:

mi hii nimeitambua kama kali ya mwaka lakini pia yanasadifu yanayotokea ndani ya nchi yetu, ambapo wabunge kadhaa wanauchapa, wakija kuibuka wanapinga hoja za maana ndani ya mjengo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom