Aking'angania sana CDF mpe maneno aliyosema CDF wa Tunisia kwa Rais Ben Ali

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Mwaka 2011 baada ya Wananchi wa Tunisia kushika bango aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Bw. Ben Ali atoke Madarakani jeshi liliamua kumpakia kwenye ndege kumpeleka Saudi Arabia.

Akiwa njiani Rais Ben Ali alijaribu kumshawishi Mkuu wa Majeshi ili arejee na kuendelea kuwa Rais.

Mkuu wa Majeshi ya Tunisia alivyoona Rais amekuwa king'ang'anizi alimpa jibu moja tu lililobeba ujumbe mzito

" Mheshimiwa Rais sikushauri urejee Tunisia maana siwezi kukuhakikishia usalama wako na familia yako endapo utarejea"

Tunaomba Wanajeshi wetu wazalendo tuondoleeni huyo fisadi na chama chake hapo Ikulu kwa kuwapa ujumbe huu.
 
Akina watatusaidia
 
Leo sizani kama usinguzi ata pata wasiruhusu tena mnzazibar kuwa rais Tanganyika
 
Back
Top Bottom