Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Akina watatusaidiaMwaka 2011 baada ya Wananchi wa Tunisia kushika bango aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Bw. Ben Ali atoke Madarakani jeshi liliamua kumpakia kwenye ndege kumpeleka Saudi Arabia.
Akiwa njiani Rais Ben Ali alijaribu kumshawishi Mkuu wa Majeshi ili arejee na kuendelea kuwa Rais.
Mkuu wa Majeshi ya Tunisia alivyoona Rais amekuwa king'ang'anizi alimpa jibu moja tu lililobeba ujumbe mzito
" Mheshimiwa Rais sikushauri urejee Tunisia maana siwezi kukuhakikishia usalama wako na familia yako endapo utarejea"
Tunaomba Wanajeshi wetu wazalendo tuondoleeni huyo fisadi na chama chake hapo Ikulu kwa kuwapa ujumbe huu.
Atoke na Chama chake Jeshi lisimamie mchakato wa Katiba Mpyagari zina ongozana mikoani kuelekea mkoa fulani, hiki kikao cha leo ni kizito.
Mzee wa mananasi kachafukwa, maana yeye ndio ali ingiza vijana wengi.Atoke na Chama chake Jeshi lisimamie mchakato wa Katiba Mpya
Mkoa gani?gari zina ongozana mikoani kuelekea mkoa fulani, hiki kikao cha leo ni kizito.
Unashangaa nini?🤳🤳🤳👀
Huyu mzee ana hadi tarehe 29 Oktoba tuMzee wa mananasi kachafukwa, maana yeye ndio ali ingiza vijana wengi.
kasahau hata edo ali saidia watu kwenda pale monduli mafunzoni.