donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
kuna watu ndio zao aisee yaani anaweza kuona kavideo au kapicha aka react kwa kucheka au kusema Nitumie mm hua nawaambia niko mbali na Wakala
Hahaha, kweli mkuu nimependa jibu lako itabidi nianze kulitumiakuna watu ndio zao aisee yaani anaweza kuona kavideo au kapicha aka react kwa kucheka au kusema Nitumie mm hua nawaambia niko mbali na Wakala
Sana mkuuInakera sana
Jamaa ameua...[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16]
DuhFanya unitumie hiyo Caption yako mkuu.
Sometimes moto huzimwa na moto mkuu. Au limtu linakutesxt oyaaa siku hzi wap? simply tu unampa majibu ya kukatisha tamaa like.. Kwani kuna nini? Ulikua unataka nini?Hahaha, kweli mkuu nimependa jibu lako itabidi nianze kulitumia
Hahaha hua unawajibu vp au unakausha kabisaMimi huwa situmi asee😎
Daaah, nimekubali we KaX mkuuSometimes moto huzimwa na moto mkuu. Au limtu linakutesxt oyaaa siku hzi wap? simply tu unampa majibu ya kukatisha tamaa like.. Kwani kuna nini? Ulikua unataka nini?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna watu ndio zao aisee yaani anaweza kuona kavideo au kapicha aka react kwa kucheka au kusema Nitumie mm hua nawaambia niko mbali na Wakala