donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Habari wakuu,
Nahisi pia wengi wenu mtakua mmekumbana na hii kero. Unakuta mtu hamjawasiliana kitambo,hata kukujulia hali ni ishu wakati wewe unajitahidi kila unapokua na dakika za kutosha unampigia kumsabahi halafu yeye yaan kazi yake ni kupita tu kwenye status za whatsapp akiona kavideo amekapenda utaskia "NITUMIE". Yaan hii kitu inanikera sana kwa kweli, hakuna hata salamu, ni NITUMIE kavu.