Nakausha, wa kujiongeza anajiongezaHahaha hua unawajibu vp au unakausha kabisa
Habari wakuu,
Nahisi pia wengi wenu mtakua mmekumbana na hii kero. Unakuta mtu hamjawasiliana kitambo,hata kukujulia hali ni ishu wakati wewe unajitahidi kila unapokua na dakika za kutosha unampigia kumsabahi halafu yeye yaan kazi yake ni kupita tu kwenye status za whatsapp akiona kavideo amekapenda utaskia "NITUMIE". Yaan hii kitu inanikera sana kwa kweli, hakuna hata salamu, ni NITUMIE kavu.
Hivi wanafanyajeSiku hizi wanachukuwa moja kwa moja, utashangaa tu naye ameshaiweka
Unatumia mbinu gani mkuuMi nazichukua tu hata siombi
Tumia whatsapp plus au Whatsapp GBUnatumia mbinu gani mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani zao jana tu yamenikuta, nitumie hii kaicopy kabisakuna watu ndio zao aisee yaani anaweza kuona kavideo au kapicha aka react kwa kucheka au kusema Nitumie mm hua nawaambia niko mbali na Wakala
Gbwhatsapp ina option ya kudownload status videos na pichaHivi wanafanyaje
Nitakutumianitumie!
Nifundishe basi kuzichukua na mimiMi nazichukua tu hata siombi
ntumie kinywaj chako pmNitakutumia
Wewe mwanamke utaiweza hii sio nikutumie alafu ukaimwagentumie kinywaj chako pm
nyepesi hvyo!mie nakula ngumu kaka !ahhahaWewe mwanamke utaiweza hii sio nikutumie alafu ukaimwage
Basi nitaituma huko utaikutanyepesi hvyo!mie nakula ngumu kaka !ahhaha
Mwambie tumia tu haina shida.Habari wakuu,
Nahisi pia wengi wenu mtakua mmekumbana na hii kero. Unakuta mtu hamjawasiliana kitambo,hata kukujulia hali ni ishu wakati wewe unajitahidi kila unapokua na dakika za kutosha unampigia kumsabahi halafu yeye yaan kazi yake ni kupita tu kwenye status za whatsapp akiona kavideo amekapenda utaskia "NITUMIE". Yaan hii kitu inanikera sana kwa kweli, hakuna hata salamu, ni NITUMIE kavu.
thawathawa!jtatu ngumu hiiBasi nitaituma huko utaikuta
GB aisee kweliTumia whatsapp plus au Whatsapp GB