Akiona video kwenye status za WhatsApp, utasikia "nitumie"

Habari wakuu,
Nahisi pia wengi wenu mtakua mmekumbana na hii kero. Unakuta mtu hamjawasiliana kitambo,hata kukujulia hali ni ishu wakati wewe unajitahidi kila unapokua na dakika za kutosha unampigia kumsabahi halafu yeye yaan kazi yake ni kupita tu kwenye status za whatsapp akiona kavideo amekapenda utaskia "NITUMIE". Yaan hii kitu inanikera sana kwa kweli, hakuna hata salamu, ni NITUMIE kavu.

Akikwambia mwambie anilipe nimfundishe jinsi ya kuiona kwenye simu yake kwani inakuwako pia
 
Habari wakuu,
Nahisi pia wengi wenu mtakua mmekumbana na hii kero. Unakuta mtu hamjawasiliana kitambo,hata kukujulia hali ni ishu wakati wewe unajitahidi kila unapokua na dakika za kutosha unampigia kumsabahi halafu yeye yaan kazi yake ni kupita tu kwenye status za whatsapp akiona kavideo amekapenda utaskia "NITUMIE". Yaan hii kitu inanikera sana kwa kweli, hakuna hata salamu, ni NITUMIE kavu.
Mwambie tumia tu haina shida.
 
Back
Top Bottom