Akiondoka usimpokee tena! Hiyo ni sumu ya taratibu, bado hajajifunza lolote

Mwanaume alijali lazima jifunze ku- control your emotions kwanini utawaliwe na kuongonzwa na emotions wakati una akili, ni wanawake tu ndo wanaongozwa na hisia kwa wanaume its "a big No"
 
Mwanaume alijali lazima jifunze ku- control your emotions kwanini utawaliwe na kuongonzwa na emotions wakati una akili, ni wanawake tu ndo wanaongozwa na hisia kwa wanaume its "a big No"
Talking is easy, ila najua kuna muda kila mtu huendeshwa na hisia na kuna muda kila mtu huweza kucontrol emotions!
 
Even if am too kind, am not stupid. Asirudi kamweee kama akiondoka
 
Mkuu ulitendwa? Watu wengi wanaumizwa na hao viumbe ila hajifunzi, kuna jama Angu ndo kagundua kwamba Mimba alio lea baada ya kumpokea tena sio ya kwake, kumbe alirudi na mimba changa sana.....
Aisee
 
Kama ni huyo mwenye kifua dodo arudi tu hata mara mia nitampokea
Bado unabujing,a mwingi na sio mwanaume.

Yaani mwenye kifua kama hicho yupo mmoja nchi nzima/dunia nzima?

Kweli wajing,a kamwe hawatoisha hata uhubiri vipi lakini ukiumizwa ndio unakuja kulia humu au ubaugulia maumivu makali. Hakikisha ex harudiwi jiulize nini kimemrudisha kutoka huko alipokwenda? Jibu unalo.
 
Don't take things serious gentleman!
You will be dumb
 
Wengi kuhongonzwa kwa hisia ndo maana kuumizwa badaye kwa tamaa zao wanawake hajawahi kimuonea mwanume huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…