Akiondoka usimpokee tena! Hiyo ni sumu ya taratibu, bado hajajifunza lolote

Akiondoka usimpokee tena! Hiyo ni sumu ya taratibu, bado hajajifunza lolote

Ila kumbuka wanao shida mitaani ndo hao hao wanao andika mitandaoni kwahiyo ni wale wale na misimamo yao, kumpokea huyu singo maza ni sawa sawa kama kupokea timing bomb.
Mda wowote ni booom linalipuka
 
Bahati mbaya haya mambo ya watu kulaliana wakiwa uchi huwa hatushauriani kwani mapenzi na ushauri ni chui na paka......ukiona unaanza kuzingatia ushauri ujue mapenzi yameshaisha.......

Usiombe kwenye hayo mambo mtu ajue pasiwedi zako.....

Unaweza ukapewa ushauri na mtu mwenye PhD na mambo ya saikolojia.....lakini alitokea tu mwenye pasiwedi unajikuta wote umeyeyuka kichwani......

Haya mambo kama hayajakukuta unaweza kuona kama watu maboya.....
 
Hakika hakika mkuu[emoji109]
Umenifariji mno
Mkuu nimekufariji ki vip? Mimi najua we bado sana hata kama yamesha nyonyoshe wawili au watatu hahaha sio mbaya una figa nzuri naamini
 
Back
Top Bottom