Akiondoka usimpokee tena! Hiyo ni sumu ya taratibu, bado hajajifunza lolote

Akiondoka usimpokee tena! Hiyo ni sumu ya taratibu, bado hajajifunza lolote

Tangu na barehe nakuzijua nimeshawahi rudiana na Ex wangu mara1 tu Tena Mimi ndo nilkuwa mkosefu na sikukubali kosa akajiroga penzi liishe hata kujibu sikumjibu ndo ikawa mwisho hata wa kumtafuta.

Badae akaja yeye mwenyewe nikampokea. Tofauti na ha huyo sijawahi kukubali kurudiana na Ex hata amtumie nani kunishawishi mwingine alienda mbali akisema nisipo msamehe atajiua nikamwambia yamkini utakuwa umeandikiwa utakufa namna hiyo.
 
Kumbe una msimamo ila kaoe acha kuzini mkuu.
 
Kwamba wanaroga
Mwanamke akishazaaa mode yake ya ufikiriaji, mtazamo wake kuhusu wanaume na maisha kiujumla unabadilika either anaweza kua positive sana au negative sana, kijana anaeanza kujitafuta akikutana na single mother yupo positive ni rahisi sana kunasa

Kingine hawa single mother wengi ni watu wanaojihulisha ni rahis kijana kua trapped Kwa kuona atapata mwenza supportive lkn baadae mambo humbadilikia
 
Ni kweli kutegemea pesa ya singo maza nikupoteza dira ya maisha anaanza kukutawala hata nyumbani, kuna siku hata kusimanga vibaya.
 
Wanawake wengi huchukulia huruma ya wanaume kama udhaifu, wengi wanaume wamefilisiki kufa kushindwa maisha kwa huruma wakijinga nina marafiki wengi wanajutia maamuzi yao walio fanya kwa kuongozwa huruma kwa ma ex wao.

Usiwe mjinga wakufikilia kwamba huyu ambae amerudi katika maisha yako karudi kwa mapenzi au kujutia alio fanya, wengi hurudi kwasbabu mambo hayajaenda kama alivo panga na kutegemea, anarudi kwako kwasababu ana kuona we ni Fala wakutafutia unafuu wa maisha, kule aliko enda pamegonga mwamba,

Kumbuka huyu ni mtu ulio mkuta na meno 32 tayari, sio kwamba amerudi kwasbabu anamapenzi nawewe au anakuthamini sanaa kuliko wengine kamwe usidanganyike.

Ameshwa tumikishwa vya kutosha Uhuru aliokua anaulilia haukuzaa matunda amekosa ulinzi, matunzo nk ndoa ni ngumu kwao akiwa ndani ni adimu sana akiwa unaitafuta, usimpokee kama aliondoka mara ya kwanza ataondoka tena haja badilika tabia amerudi sio kukujenga ila kukutumia kwa mipango yake.

We mwanaume jifunze kwamba mwanamke anae ondoka kwa ajili ya faida zake sio rahisi kujutia kitendo chake anarejea kwako baada ya kuona kwamba alichokua anafikiri sio, mitaani ni pangumu sanaa, sio kweli kwamba anatafuta mapenzi kwako laa anafuta kutumia mapenzi kubebwa ajalibishe tena mara ya pili.

Kabla hujamrudisha jiulize haya masuali:

1. Kwanini aliondoka mara ya kwanza.
2. Anasababu za kujiueleza kwanini aliondoka atarudisha je maumivu ilio pitia wakati ule
3. Kaongezeka thamani yoyote baada ya kuondoka au ndo imeshuka zaid anarudisha tu shida zako kwako?

Kupokea singo maza kama huyu haitakusaidia tena badala ndo utakua mwanzo wa anguko lako la milele hawezi kukujenga mwana mke anae penda mme hawezi kuondoka kwasababu kuna mbadala wa maisha sehemu nyingine, mke anae kupenda kwa dhati hata maisha yakiwa magumu kiasi gani ata kuvumilia mda wote atakuthamini ata kuheshimu atakutunzia siri hatakujaribisha nk.

Nb.
Komesheni hao masingo maza kwa kutowapokea tena, ili waache hizo tabia zao za kudanga danga kwa kutafuta 'Green pasture' else where, kwa kujificha kwenye mapenziView attachment 3178807
Mpaka leo bado mnalia na mapenzi?
 
Tatizo unafiki, washkaji zangu kibao walikua na mitazamo hii sioi single mother, akizingua natimua, sioi mapema etc wengi wameoa single mothers 😁😁
Sio unafiki, unaeza Kuta ni kweli washkaji zako hawapendi kuoa single mother, ila utakuta kwa bahati mbaya hao ndo aina ya wanawake wanaoweza kuwapata.

Wadada wengine wanaficha wanaume kuwa Wana watoto, mtu unakuja gundua ukweli ushayavagaa ndoani na kusema ooh shit kumbe mke uliemuoa tayari alikuwa na mtoto😁 Mpaji Mungu
 
Mambo ya mitandaoni sio ya kuamini hata kidogo.
Ila kumbuka wanao shida mitaani ndo hao hao wanao andika mitandaoni kwahiyo ni wale wale na misimamo yao, kumpokea huyu singo maza ni sawa sawa kama kupokea timing bomb.
 
Back
Top Bottom