Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 278
- 255
Hafuati taratibu zozote, Ujaji ni wake, uhakimu ni wake, uwakili ni wake, ushauri ndoa ni wake, ukulima ni wake, uzalishaji viwandani ikiweno sukari ni wake, uongozi wa kibabe ni wake, ukada zaidi ya wote ni yeye, kuonewa ni yeye, kutishia ni yeye tu, kutunga sheria za papo kwa papo ni yeye, kupanda punda ni yeye, kuendesha katapila ni yeye, n.k.
Huyu mtu ukweli hajua kabisa suala la good governace, yeye ni twende kazi tu. Bado maluwe luwe ya awamu ya tano hayajamtoka.
Chama hakioni hili - kwa sasa kuna minunguno midogo humo chamani lkn watu wanaenda kimya kimya tu.
Makonda alipaswa apewe ubalozi kama ana sifa lakini hili analokwenda nalo ni la makusudi kabisa kujijenga yeye tu.
Huyu mtu ni tatizo - tena tatizo haswa - hapo kapewa ofa ya uenezi mkitomtoa hata kwa nia njema tu atalia na kupata huruma wa wananchi na mengi kusemwa kuwa kaonewa.
Makonda hajawahi kufaa kuwa kiongozi mweledi hata siku moja, kwake uongozi ni ubabeee