TANU ya JKN walikuwa na shilingi ngapi wakati wanaenda UN?
Wakati Mbowe anataka kufungwa na Magufuli mwezi March 2020 zile milioni 70 walichanga akina nani?
Pia zile millioni 230 na ushee zilizochangwa ndani ya saa 24 kuwatoa kwenye kifungo Mbowe na wenzake walitoa kina nani?
Mageuzi yakishafika ni nguvu ya wananchi inakuwa kubwa kuliko hiyo serikali na hata pesa zinapatikana tu bila shaka yoyote, nimekukumbusha huo mfano najua ulishahau.
Ni bora chama kipate pesa za wananchi za mageuzi kuliko kuonekana na ukwasi huku kikififishwa kufanya mageuzi sababu kinapokea hongo toka kwa Abdul na mama yake .