Pre GE2025 Akishinda Mbowe Chadema itakuwa na fedha bila Wapiga Kura na akishinda Tundu Lissu Chadema itakuwa na Wapiga Kura bila fedha, chaguo ni lako!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ruzuku ya CDM inawafaidisha akina nani!? Kwa hiyo hata ikipata pesa za rushwa wanufaika wakubwq watakuwa ni watu hao hao.

Ni heri kupata heshima kwa njia za kiutu na kiungwana, kuliko kutafuta heshima kwa njia ya rushwa. Ni heri kuchagua heshima ya kiutu kuliko kununuliwa kwa vipande vya pesa.

Wajumbe wa Mkutano Taifa kazi wanayo. Ama waende na timu ya Mbowe-Wenje ama ile ya Lissu-Heche.

The best thing is to be SMART and not CLEVER.
Mnufaika wa pesa za chadema ni Mbowe peke yake kwani hata katibu mkuu wa chadema hana mamlaka juu ya pesa za chama, idara ya pesa yote ni Mbowe mwenyewe ndiye mhasibu, ametengeneza mazingira haramu ya kuharalisha kula pesa za chama, Mbowe ni mwizi mchoyo na anapenda Rishwa ya ngono kwa wabunge viti maalum ambapo wale wabunge haramu 19 ni watu wake
 
TANU ya JKN walikuwa na shilingi ngapi wakati wanaenda UN?

Wakati Mbowe anataka kufungwa na Magufuli mwezi March 2020 zile milioni 70 walichanga akina nani?

Pia zile millioni 230 na ushee zilizochangwa ndani ya saa 24 kuwatoa kwenye kifungo Mbowe na wenzake walitoa kina nani?

Mageuzi yakishafika ni nguvu ya wananchi inakuwa kubwa kuliko hiyo serikali na hata pesa zinapatikana tu bila shaka yoyote, nimekukumbusha huo mfano najua ulishahau.

Ni bora chama kipate pesa za wananchi za mageuzi kuliko kuonekana na ukwasi huku kikififishwa kufanya mageuzi sababu kinapokea hongo toka kwa Abdul na mama yake .
 
Mbowe amshukuru Lisu kugombea kwani imemsaidia mbowe kutambua kuwa kumbe mabaya madhambi madudu yake yote yanajulikana ingawa alikuwa alijipa moyo kuwa atakanusha na watanzania watamwamini, kwa sasa watanzania wameamka hawataki mambo ya hovyo kama yake
 
Mbowe ana nufaika na CHADEMA kuliko CHADEMA inavyonufaika na Mbowe
 
Mbowe amshukuru Lisu kugombea kwani imemsaidia mbowe kutambua kuwa kumbe mabaya madhambi madudu yake yote yanajulikana ingawa alikuwa alijipa moyo kuwa atakanusha na watanzania watamwamini, kwa sasa watanzania wameamka hawataki mambo ya hovyo kama yake
Haiwezekani chama kinapata 2010-2020 kwa mwezi zaidi ya milioni 500 lakini mpk leo hakina vitega uchumi vyake kinamtegemea Mbowe pekee ni aibu kubwa sn
 
Ruzuku ya CDM inawafaidisha akina nani!? Kwa hiyo hata ikipata pesa za rushwa wanufaika wakubwq watakuwa ni watu hao hao.

Ni heri kupata heshima kwa njia za kiutu na kiungwana, kuliko kutafuta heshima kwa njia ya rushwa. Ni heri kuchagua heshima ya kiutu kuliko kununuliwa kwa vipande vya pesa.

Wajumbe wa Mkutano Taifa kazi wanayo. Ama waende na timu ya Mbowe-Wenje ama ile ya Lissu-Heche.

The best thing is to be SMART and not CLEVER.
Wakikosea tu CDM inaenda kuungana na CUF
 
Mbowe anatumia pesa nyingi kununua uenyekiti kwa hofu ya kuumbuka madudu wizi wake endapo ataingia mwenyekiti mpya, kamati yake ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, Boniface, sugu na wenye wanahaha saa 24 kila kumdhoofisha Lisu
Wameumbuka haswa
 
Back
Top Bottom