Akivunja vyombo dada huwa si muangalifu lakini akivunja mother house ni bahati mbaya?

Ninadhani utaratibu mzuri ni kununua vyombo vya kawaida vya daily use, zile dinner set ulizopewa kama zawadi ya harusi vibaki kwenye display mpaka ukipata wageni rasmi
 
wengine wanalawama akivunja mtu analaumu akivunja yeye anamlaumu aliyeweka pale kile chombo

utasikia nani kaweka glasi juu ya meza umeona umesababisha imevunjika
 
Yaani mradi apate wa kumbebesha mzigo
 
Kuna baadhi ya nyumba wanawatreat HGs kama lowest class citizens. Yaani hata vitoto chini ya miaka minne vinajua kabisa hawa sio level zetu kwa jinsi wanavyokuwa treated. Ndio maana wakati mwingine hawa HGs hufanya matukio ya kutisha na kusepa zao
 
wengine wanalawama akivunja mtu analaumu akivunja yeye anamlaumu aliyeweka pale kile chombo

utasikia nani kaweka glasi juu ya meza umeona umesababisha imevunjika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binadamu hatuna jema
 
Kuna baadhi ya nyumba wanawatreat HGs kama lowest class citizens. Yaani hata vitoto chini ya miaka minne vinajua kabisa hawa sio level zetu kwa jinsi wanavyokuwa treated. Ndio maana wakati mwingine hawa HGs hufanya matukio ya kutisha na kusepa zao
Fact
 
Kabisa. Hawa watu hata tukiwatetea aje wanamakusudi sana. Umlipe mshahara mkubwa,mtendee wema bado hawajirekebishi. Wachache sana wanaojielewa
Hasa awe na hasira. Labda kafanya kitu kakosea halafu ukamsema basi zile purukushani anaweza vunja na sio saani tu ama kikombe saa nyungine hata chupa ya chai sababu hawi makini kabisa.

Eti kanuna lol.
 
Kuna baadhi ya nyumba wanawatreat HGs kama lowest class citizens. Yaani hata vitoto chini ya miaka minne vinajua kabisa hawa sio level zetu kwa jinsi wanavyokuwa treated. Ndio maana wakati mwingine hawa HGs hufanya matukio ya kutisha na kusepa zao
Kuna mmoja alimchoma sindano mtoto utosini kabla hajaondoka, alifukuzwa kazi kwa upotevu wa milioni moja. Dada wa watu wala haijui millioni inafanana na nini.

Mtoto aliugua, homa kali kutokana na infection. Kabla ya kuzika bibi aliogesha maiti ndiyo anaona sindano utosini kwa mtoto mchanga.
 
Ninadhani utaratibu mzuri ni kununua vyombo vya kawaida vya daily use, zile dinner set ulizopewa kama zawadi ya harusi vibaki kwenye display mpaka ukipata wageni rasmi
Hahahaaa. Lol.

Mie naona suluhu ni kusisitiza umakini tu kwa hao wasaidizi hasa kwenye matumizi ya vyombo sababu kikawaida maisha tuliyoishi nyuma mara nyingi hatupendi yaendelee mpaka kwenye vizazi vyetu, hivyo kama ni mdada anapovunja vyombo ikiwa ni kwa bahati mbaya hapaswi kukaripiwa zaidi ya kuelimishwa kwamba mazowea siku zote hugeuka na kuwa tabia.

Hivyo akizowea kuvunja kuanzia chini basi iko siku atakuwa na kwake na ndio itakuwa tabia yake hivyo kuvunja vyombo hovyo hovyo. Na kwa waelewa huwa wanaelewa kabisa.
 
Kuna mama mmoja alikua haruhusu hausgal anywe chai kwa kitafunio hasa wali ataacha kauchora alama zake ,watoto wakirud wanazikuta wanaula,jion mama mtu anawauliza kama walizikuta alama wakijibu ndio basi pona ya hausgel,wakijibu hapana,bidada atakula kipigo kikubwa hadi huruma
Kuna baadhi ya nyumba wanawatreat HGs kama lowest class citizens. Yaani hata vitoto chini ya miaka minne vinajua kabisa hawa sio level zetu kwa jinsi wanavyokuwa treated. Ndio maana wakati mwingine hawa HGs hufanya matukio ya kutisha na kusepa zao
 
Yani kama ikiwezekana kabisa usiwe na House Girl.. Ikishindikana kabisa kwamba lazima awepo basi awe wakuja asubuhi na kuondoka jioni asiwe wa boarding [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…