Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili iweje sasa?Kuna wengine wanavunja makusudi kabisa
Hasa awe na hasira. Labda kafanya kitu kakosea halafu ukamsema basi zile purukushani anaweza vunja na sio saani tu ama kikombe saa nyingine hata zaidi ya hivyo vidogo sababu hawi makini kabisa.Kuna wengine wanavunja makusudi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binadamu hatuna jemawengine wanalawama akivunja mtu analaumu akivunja yeye anamlaumu aliyeweka pale kile chombo
utasikia nani kaweka glasi juu ya meza umeona umesababisha imevunjika
FactKuna baadhi ya nyumba wanawatreat HGs kama lowest class citizens. Yaani hata vitoto chini ya miaka minne vinajua kabisa hawa sio level zetu kwa jinsi wanavyokuwa treated. Ndio maana wakati mwingine hawa HGs hufanya matukio ya kutisha na kusepa zao
Hasa awe na hasira. Labda kafanya kitu kakosea halafu ukamsema basi zile purukushani anaweza vunja na sio saani tu ama kikombe saa nyungine hata chupa ya chai sababu hawi makini kabisa.
Eti kanuna lol.
Kuna mmoja alimchoma sindano mtoto utosini kabla hajaondoka, alifukuzwa kazi kwa upotevu wa milioni moja. Dada wa watu wala haijui millioni inafanana na nini.Kuna baadhi ya nyumba wanawatreat HGs kama lowest class citizens. Yaani hata vitoto chini ya miaka minne vinajua kabisa hawa sio level zetu kwa jinsi wanavyokuwa treated. Ndio maana wakati mwingine hawa HGs hufanya matukio ya kutisha na kusepa zao
Hahahaaa. Lol.Ninadhani utaratibu mzuri ni kununua vyombo vya kawaida vya daily use, zile dinner set ulizopewa kama zawadi ya harusi vibaki kwenye display mpaka ukipata wageni rasmi
Kuna baadhi ya nyumba wanawatreat HGs kama lowest class citizens. Yaani hata vitoto chini ya miaka minne vinajua kabisa hawa sio level zetu kwa jinsi wanavyokuwa treated. Ndio maana wakati mwingine hawa HGs hufanya matukio ya kutisha na kusepa zao
Kabisa. Hawa watu hata tukiwatetea aje wanamakusudi sana. Umlipe mshahara mkubwa,mtendee wema bado hawajirekebishi. Wachache sana wanaojielewa