Inategemea kama una watoto wadogo mmh unahitaji kuondoka asubuhi dada anakwambia ameibiwa nauli ya daladala pichu itakubanaYani kama ikiwezekana kabisa usiwe na House Girl.. Ikishindikana kabisa kwamba lazima awepo basi awe wakuja asubuhi na kuondoka jioni asiwe wa boarding [emoji23]
Kwanini wanawake mnawachukia HGs?
Kuna zile sanahani za kwa machinga zile, ninaongeza kila baada ya miezi sita. Hata wakivunja ninaangalia tu. lakini zile special wageni wakiondoka ninaosha mwenyeweHahahaaa. Lol.
Mie naona suluhu ni kusisitiza umakini tu kwa hao wasaidizi hasa kwenye matumizi ya vyombo sababu kikawaida maisha tuliyoishi nyuma mara nyingi hatupendi yaendelee mpaka kwenye vizazi vyetu, hivyo kama ni mdada anapovunja vyombo ikiwa ni kwa bahati mbaya hapaswi kukaripiwa zaidi ya kuelimishwa kwamba mazowea siku zote hugeuka na kuwa tabia.
Hivyo akizowea kuvunja kuanzia chini basi iko siku atakuwa na kwake na ndio itakuwa tabia yake hivyo kuvunja vyombo hovyo hovyo. Na kwa waelewa huwa wanaelewa kabisa.
Kwanini wanaume mnawachukia HBs?
Kabisa. Hawa watu hata tukiwatetea aje wanamakusudi sana. Umlipe mshahara mkubwa,mtendee wema bado hawajirekebishi. Wachache sana wanaojielewa
Kuna baadhi ya nyumba wanawatreat HGs kama lowest class citizens. Yaani hata vitoto chini ya miaka minne vinajua kabisa hawa sio level zetu kwa jinsi wanavyokuwa treated. Ndio maana wakati mwingine hawa HGs hufanya matukio ya kutisha na kusepa zao
Duuh! Ila wamama wa hivyo nao.Kuna mama mmoja alikua haruhusu hausgal anywe chai kwa kitafunio hasa wali ataacha kauchora alama zake ,watoto wakirud wanazikuta wanaula,jion mama mtu anawauliza kama walizikuta alama wakijibu ndio basi pona ya hausgel,wakijibu hapana,bidada atakula kipigo kikubwa hadi huruma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hasa awe na chura wakati mother house msambwanda aliukosa
Hapo kwa ufanyalo ni sawa kabisa Dada.Kuna zile sanahani za kwa machinga zile, ninaongeza kila baada ya miezi sita. Hata wakivunja ninaangalia tu. lakini zile special wageni wakiondoka ninaosha mwenyewe
Anyways mimi najua HGs wengi wanaokuwa na vituko ni kutokana na the way unavyoishi nae. Sisi kwetu tokea tukiwa makidi wadogo tulikua na HG huyo katulea mpaka tumekuwa madingi tunaishi fresh sana mpaka amekuja kuondoka tukiwa secondary lakini ni kama member wa family hakujawahi kuwa na quarrel yoyote miaka karibia 20..Inategemea kama una watoto wadogo mmh unahitaji kuindoka asubuhi dada anakwambia ameibiwa nauli ya daladala pichu itakubana
Mimi pigo kubwa ni kujua kuwa mr analamba
Kweli kabisa Mkuu. Wadada kuweza kuishi nao hawapaswi kujua mwenye nyumba ana rangi gani yaani penye kubadilika unambadilikia na pia hawapaswi kuaminika kwa 100% hata siku moja.Ukienda nao sawa wanakupanda kichwani...mtunze utakavo mtunza lakini ukiingia kwenye 18 zake lazma akupige..
Nimecheka kwa sauti Dada. Tena hao ndio nasikia wanakuwaga na adabu kupindukia. [emoji23] [emoji23] [emoji23].Mimi pigo kubwa ni kujua kuwa mr analamba
Ila cha moto wanakiona wale wanaofanya kazi kwenye nyumba za wahindi...No chai ππKweli kabisa Mkuu. Wadada kuweza kuishi nao hawapaswi kujua mwenye nyumba ana rangi gani yaani penye kubadilika unambadilikia na pia hawapaswi kuaminika kwa 100% hata siku moja.
Sababu waeza kuta unaishi naye kama ndugu ila yeye kwenye ule undugu amejitoa kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wengine wanalawama akivunja mtu analaumu akivunja yeye anamlaumu aliyeweka pale kile chombo
utasikia nani kaweka glasi juu ya meza umeona umesababisha imevunjika
Ila wale si nasikia hawalalagi yaani ni kama Mfanyakazi wa Ofisi nyingine, kwamba unaenda kufanya kazi tu ila kila kitu juu yako.Ila cha moto wanakiona wale wanaofanya kazi kwenye nyumba za wahindi...No chai ππ