Akivunja vyombo dada huwa si muangalifu lakini akivunja mother house ni bahati mbaya?

Ila wale si nasikia hawalalagi yaani ni kama Mfanyakazi wa Ofisi nyingine, kwamba unaenda kufanya kazi tu ila kila kitu juu yako.

Ikifika mida ya kuondoka unakwenda nyumbani. Au sivyo nijuavyo Mkuu?
Haina kulala kwenye nyumba ya mhindi...kwangu pia silazi mfanyakazi ila nampatia chai na msosi pamoja na emergencies zote mbali na mshahara nnaomlipa. Nashkuru anakaa vizuri na mtoto
 
Kuna baadhi ya nyumba wanawatreat HGs kama lowest class citizens. Yaani hata vitoto chini ya miaka minne vinajua kabisa hawa sio level zetu kwa jinsi wanavyokuwa treated. Ndio maana wakati mwingine hawa HGs hufanya matukio ya kutisha na kusepa zao
Yaani "" mtu anajihisi yupo utumwani kabisa
 
Mama ni masikini wa roho
 
Nyumba nyingine housegirl anakula jikoni tena familia inakaa dining room na kengele, ikilia tu jua anaitwa
 
wengine wanalawama akivunja mtu analaumu akivunja yeye anamlaumu aliyeweka pale kile chombo

utasikia nani kaweka glasi juu ya meza umeona umesababisha imevunjika
Yaaan hii ipo kabisa eti analaumu aliekiweka hapo watu huwa wanapenda kulaumu wengine tu na kujihukumu wao hapana
 
Yani kama ikiwezekana kabisa usiwe na House Girl.. Ikishindikana kabisa kwamba lazima awepo basi awe wakuja asubuhi na kuondoka jioni asiwe wa boarding [emoji23]
Kweli kabisaa watu wengi wana roho mbaya wanawanyima chakula
 
Wengine ukisema awe analala huko huko anakuwa anaiba vitu haahah
 
wengine wanalawama akivunja mtu analaumu akivunja yeye anamlaumu aliyeweka pale kile chombo

utasikia nani kaweka glasi juu ya meza umeona umesababisha imevunjika
Nimecheka sana mkuu! watu aina hii wapo sana kwenye jamii
 
Mmmmhhhh kuna watu wana roho kubwa jamani
 
Na bado housegirl akivunja anakatwa kwenye mshahara wake
 
See?! Kuna mwingine aliwatupa wawili kwenye freezer akasepa zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…