DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Ndio utaratibu unaotumika nyumba nyingi.Ninadhani utaratibu mzuri ni kununua vyombo vya kawaida vya daily use, zile dinner set ulizopewa kama zawadi ya harusi vibaki kwenye display mpaka ukipata wageni rasmi