Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi tu huyu, anachoongea ni unafiki na kujisogeza tu.View attachment 2894068
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amewaomba msamaha wote aliwakosea na kusema amewasamehe wale wote waliomkosea.
Amesema hayo leo Jumapili Februari 4,2024 katika Kanisa la Ebenezer Restoration Ministry For All Nations, lililopo jijini Arusha katika ibada ya shukrani.
Sabaya amesema hataendeleza vita na maadui zake, bali anawaachia Mungu. Pia amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mifumo ya haki na usawa nchini.
Ikumbukwe Aprili 5, 2023 Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi ilimwachia huru Sabaya baada ya kukiri kosa la kula njama pamoja na makosa mbalimbali yaliyokuwa yakimkabili.
Pia Sabaya aliachiwa huru kwa kesi nyingine mbili za matumizi mabaya ya madaraka na uhujumu uchumi, zilizoendeshwa jijini Arusha.
Mpuuzi ni mpuuzi Sukari bei juu huoni,Umeme hakuna umetulia unawawaza Chadema!.Safi sana
Soon anarudi kitaa kuwanyoosha machadema
Hatujui, tufafanulie. Kisa ni nini?Kama mnaakili basi mmejua kisa ya baba ake kwanini amepewa cheo na yeye kuachiwa akiri ni mari
Hilo sasa halimhusu Ole Sabaya.BIG NO.kwangu mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote.
Akafie mbali huyu mbwa amewatesa sana watu. Akae akijua kwamba wabaya wake bado wana hasira naye.,mpuuzi mkubwa!View attachment 2894068
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amewaomba msamaha wote aliwakosea na kusema amewasamehe wale wote waliomkosea.
Amesema hayo leo Jumapili Februari 4,2024 katika Kanisa la Ebenezer Restoration Ministry For All Nations, lililopo jijini Arusha katika ibada ya shukrani.
Sabaya amesema hataendeleza vita na maadui zake, bali anawaachia Mungu. Pia amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mifumo ya haki na usawa nchini.
Ikumbukwe Aprili 5, 2023 Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi ilimwachia huru Sabaya baada ya kukiri kosa la kula njama pamoja na makosa mbalimbali yaliyokuwa yakimkabili.
Pia Sabaya aliachiwa huru kwa kesi nyingine mbili za matumizi mabaya ya madaraka na uhujumu uchumi, zilizoendeshwa jijini Arusha.
Huu msamaha ni sehemu ya maandalizi ya kukabidhiwa mkoa wa Dar.Mwanasiasa Lengai Ole Sabaya ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, amewaomba msamaha wote aliwakosea na kusema amewasamehe wale wote waliomkosea.
Amesema hayo katika Kanisa la Ebenezer Restoration Ministry For All Nations Jijini Arusha katika ibada ya shukrani, leo Jumapili Februari 4, 2024.
Sabaya amesema hataendeleza vita na maadui zake, bali anawaachia Mungu. Pia amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mifumo ya haki na usawa nchini.
Ikumbukwe Aprili 5, 2023 Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi ilimwachia huru Sabaya baada ya kukiri kosa la kula njama pamoja na makosa mbalimbali yaliyokuwa yakimkabili.
Pia Sabaya aliachiwa huru kwa kesi nyingine mbili za matumizi mabaya ya madaraka na uhujumu uchumi, zilizoendeshwa jijini Arusha.
Chanzo: Mwananchi