Akiwa Kanisani, Ole Sabaya atangaza kuwaomba msamaha aliowakosea

Wewe ni jambazi sugu na unatakiwa ukaozee gerezani, tunajua wanataka kukupa teuzi ndio maana wame kutuma uanze kujisafisha na kutafuta huruma lakini ukirudi utaendeleza ujambazi wako
 
Mpuuzi tu huyu, anachoongea ni unafiki na kujisogeza tu.
 
hata hivyo, hata madhabahu yenyewe aliyoenda kuombea ni ya kitapeli. na hajaomba wala kujikabidhi kwa Mungu, amejikabidhi kwa "madhabahu". umeona wanawake walivyoshangilia?
 
Anaongea kwa kiburi sana!....
Naona hajakoma....walimwengu watamfunza...shauri yake..hii dunia ina mwenyewe..Mungu.
 
Samehe saba ×70.

Sabaya ni mtu muungwana, ni mtu mwwnye hofu ya Mungu ndio maana amethubutu kuomba msamaha hadharani tena madhabahuni.

Hakika atakaye endeleza vita na yeye basi atakabiliana na nguvu za Mungu.
 
Akafie mbali huyu mbwa amewatesa sana watu. Akae akijua kwamba wabaya wake bado wana hasira naye.,mpuuzi mkubwa!
 
Huu msamaha ni sehemu ya maandalizi ya kukabidhiwa mkoa wa Dar.
 
Mimi sitokusameheee mbwa wewe kama mbwai iwe mbwai tukikutana ujipange lazima nikule jicho
 
Kuna ujinga wanadanganyana watarudi .hahahs ngoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…