Manchris Jbisd
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 691
- 494
Yan people muslazmishe kupandisha aly k kupitia nasib,yan ndo mnampoteza kiba wawatu kabsaa. Video yenyewe anangoja ela ya fiesta. Mwambieni aanze taratibu kwan akimfatiliza mond ataangukia pua. Mwenzie ana hela mingi na anajua kufanya,tena kwa juhudi.
Nilipoona jina la Davido tu nimekata tamaa kabisa, kila mwenye akili tayari anayajuwa matokeo.
davido kuwa mbele ya dai kwa sasa ni sawa, wanaigeria wapo mbali sana kwa kila kitu ukilinganisha na tz, tunachompongeza nacho dai ni ule uwezo tuu wa kuonesha ushindani na wanamuziki wa level za juu. lkn cha ajabu kuna baadhi ya watz wanatumia nguvu zao zote kumdiss. shame!!!!
okey lem try to think again, sasa unaonaje kama ukitumia nguvu zako zote kumpomote yule umpendae, na ukiacha kabisa kumuongelea yule usiempenda????? kama msanii flani humpendi why too much energy on him????its not shame,, haters ni sehemu ya kawaida kwa ma celebrities,, na hao ndo huwafanya wasanii wa work hard,, wa wapiwewe?????? every body has haters, Jesus had haters....
usilazimishe love wakati wafahamu fika kila mtu ana msanii ampendae na anataka afanye zaidi kuliko mwenzie. Think again .
Pointi yake ni kua,palipo na davido diamond hakai....kwani hujaelewa!
Thats right. Usanii au uanamziki siyo kipaji tu. Ni the whole tricky package
Nilipoona jina la Davido tu nimekata tamaa kabisa, kila mwenye akili tayari anayajuwa matokeo.
Ni kweli diamond kwa davido bado sana..ila msije mkashangaa dogo akabahatisha akampiku davido!
Yeah....na ninadhani hicho ndo kilichomsaidia diamond.
Akishinda hiyo tuzo nitaharisha mimi kuanzia relini (tabata hiyo) hadi sheli huku nikiruka ruka, kisha navua nguo nakuwa uchi wa mnyama hadi Kimboka kujisevia huduma zinazopatikana pale mchana wa saa sita.