Akiwa na kiporo tuzo za channel O, Diamond atajwa kuwania tuzo kubwa za MTV Europe

Yan people muslazmishe kupandisha aly k kupitia nasib,yan ndo mnampoteza kiba wawatu kabsaa. Video yenyewe anangoja ela ya fiesta. Mwambieni aanze taratibu kwan akimfatiliza mond ataangukia pua. Mwenzie ana hela mingi na anajua kufanya,tena kwa juhudi.

Halafu genre ya bongo flava ni complex sana... Ina musical styles nyingi k.v. pop, r n b & most common zouk. Ni ngumu kufananisha mwanadaresalama na mdogomdogo au no. One. Wanatofautiana. Ndo maana hata nje chris brown hakupitia njia alizopita r kelly n' still wote wanaimba.
 
Nilipoona jina la Davido tu nimekata tamaa kabisa, kila mwenye akili tayari anayajuwa matokeo.
 
angalau mkimpambanisha dai na davido inaleta maana, michosho ni pale mnapompambanisha dai na kiba hapo tuuu ndipo watz tunapoonekana chokoooooo
 
all the best of luck platinum nakuombea kwa Mungu uzid kupasua anga na kua nominee peke yake ni kuitangaza tz vya kutosha. wanaoponda wanakukubali kimoyo moyo endelea kuwaua hao pimbi.
 
Nilipoona jina la Davido tu nimekata tamaa kabisa, kila mwenye akili tayari anayajuwa matokeo.

davido kuwa mbele ya dai kwa sasa ni sawa, wanaigeria wapo mbali sana kwa kila kitu ukilinganisha na tz, tunachompongeza nacho dai ni ule uwezo tuu wa kuonesha ushindani na wanamuziki wa level za juu. lkn cha ajabu kuna baadhi ya watz wanatumia nguvu zao zote kumdiss. shame!!!!
 
its not shame,, haters ni sehemu ya kawaida kwa ma celebrities,, na hao ndo huwafanya wasanii wa work hard,, wa wapiwewe?????? every body has haters, Jesus had haters....

usilazimishe love wakati wafahamu fika kila mtu ana msanii ampendae na anataka afanye zaidi kuliko mwenzie. Think again .
 
okey lem try to think again, sasa unaonaje kama ukitumia nguvu zako zote kumpomote yule umpendae, na ukiacha kabisa kumuongelea yule usiempenda????? kama msanii flani humpendi why too much energy on him????
 
MWANADALISALAMA...watu wachimvi sana!sasa huu wimbo umehusikaje sasa hapa!?..
mwisho wa siku ataeleweka tu huyu dogo Almasi
 
Hivi Domondi bado anatumia ile style yakukata mauno akiwapo stagiji?
 
Akishinda hiyo tuzo nitaharisha mimi kuanzia relini (tabata hiyo) hadi sheli huku nikiruka ruka, kisha navua nguo nakuwa uchi wa mnyama hadi Kimboka kujisevia huduma zinazopatikana pale mchana wa saa sita.
 
Hhhhhhaaaaaa
 
Upo uchi hiyo 2500 ya kung'olea wale watu wale utaiweka wapi.
 
Akishinda hiyo tuzo nitaharisha mimi kuanzia relini (tabata hiyo) hadi sheli huku nikiruka ruka, kisha navua nguo nakuwa uchi wa mnyama hadi Kimboka kujisevia huduma zinazopatikana pale mchana wa saa sita.

Haaaaahaaa ila wakati unavua nguo usisahau kutoa wallet mpwa wangu na uishike vizuri mpaka Kimboka maana huduma za pale hakuna mkopo ni mwendo wa cash.
 
Back
Top Bottom