okey lem try to think again, sasa unaonaje kama ukitumia nguvu zako zote kumpomote yule umpendae, na ukiacha kabisa kumuongelea yule usiempenda????? kama msanii flani humpendi why too much energy on him????
point yako hasa ni nini mkuu?
kwa nini Diamond anatumia blog mnashindwa nini kutumia website??
Alafu jifunze Pr mkuu utakiwi kulalamika,unatakiwa kuelezea mafanikio yake na vitu positive kama hivi then penye kuitaji ufafanuzi unaoitajika unaelezea,penye kuitaji uhamasishaji unafanya then unajikataa. usishindane na washabiki hautokaa uwashinde .
Diamond anaonekana nje kwa sasa sababu wabongo wanamsapot sana toka day one, na sio kila anaetoa negative comment anamchukia wengine wanatania, wengine wanamkubali ila hawataki kukubali matokeo kuwa wanamkubali na wapo wasiompenda kweli ambao uwezi kuwashawishi kwa namna yoyote wana ile roho warugulu wanaita kazopata ni kuendelea kuwashawishi kwa nominations kama hizi.
All in all my point is jaribu kuwa more professional.
kwanza hongera bwana daimondo kuendelea kuwa nominated usichoke na matokeo kwani siku moja ushindi upo,back to other artist naomba mzidishe ubunifu kwan just imagine hawa temba na mwenzie chege wanakuwa nominated the same category na toofan gweta while nyimbo yao mpya featuring malomboso dancing zao ni copy na kupest za toofan guetta,unategemea kuna kushinda hapo????poor dem suckers
okey then, that is what called extra ordinary LOVE to him, u see huwezi jizuia kumuongelea kwani daimond ni shida ya taifa kwa sasa.hahahahaaahh..!! Siwezi acha muongelea nisiye mpenda coz najiskia raha muongelea..
point yako hasa ni nini mkuu?
kwa kiwangu cha hali ya juu,diamond ameonesha nini maana ya artist to work hard, Tanzania tumekuwa tukibeza mafanikio ambayo hatujayazoea, tulizoea kuwa watu wa kuachwa mbali kwa muda mrefu,si katika soka,ngumi,riadha na michezo mingine mingi.
Tunatawaliwa na siasa katika kila jambo linalohitaji ufundi, wanaojitokeza kubeza mafanikio ya Diamond ni wale ambao hawalitakii mema taifa katika sanaa kwa ujumla, wakimaanisha wao furaha yao ni kuona hatutambuliki na tunashangilia mataifa mengine katika mafanikio yao.
Haiingii akilini msanii wa Tanzania anafanya vizuri Mtanzania ageuke kikwazo.
Haya nasubiri hilo balaa ina hao waandaji tuzo hawajasikia balaa la mwana! !?