Akiwa na kiporo tuzo za channel O, Diamond atajwa kuwania tuzo kubwa za MTV Europe

Akiwa na kiporo tuzo za channel O, Diamond atajwa kuwania tuzo kubwa za MTV Europe

okey lem try to think again, sasa unaonaje kama ukitumia nguvu zako zote kumpomote yule umpendae, na ukiacha kabisa kumuongelea yule usiempenda????? kama msanii flani humpendi why too much energy on him????

hahahahaaahh..!! Siwezi acha muongelea nisiye mpenda coz najiskia raha muongelea..
 
  • Thanks
Reactions: amu
kwanza hongera bwana daimondo kuendelea kuwa nominated usichoke na matokeo kwani siku moja ushindi upo,back to other artist naomba mzidishe ubunifu kwan just imagine hawa temba na mwenzie chege wanakuwa nominated the same category na toofan gweta while nyimbo yao mpya featuring malomboso dancing zao ni copy na kupest za toofan guetta,unategemea kuna kushinda hapo????poor dem suckers
 
kwa nini Diamond anatumia blog mnashindwa nini kutumia website??

Alafu jifunze Pr mkuu utakiwi kulalamika,unatakiwa kuelezea mafanikio yake na vitu positive kama hivi then penye kuitaji ufafanuzi unaoitajika unaelezea,penye kuitaji uhamasishaji unafanya then unajikataa. usishindane na washabiki hautokaa uwashinde .

Diamond anaonekana nje kwa sasa sababu wabongo wanamsapot sana toka day one, na sio kila anaetoa negative comment anamchukia wengine wanatania, wengine wanamkubali ila hawataki kukubali matokeo kuwa wanamkubali na wapo wasiompenda kweli ambao uwezi kuwashawishi kwa namna yoyote wana ile roho warugulu wanaita kazopata ni kuendelea kuwashawishi kwa nominations kama hizi.

All in all my point is jaribu kuwa more professional.

Mkuu pole kwa kupoteza muda wako wa kumshauri

Una mwambia awe professional wakati mwenzio alikimbia umande mkuu? Huyo anatumia kipaji kama ambavyo boss wake alivyo mpa kazi.Hamna professionalism hapo na acha kutumia muda wako kumuelimisha sababu hamna ambalo atalifanyia kazi

Mshauri tu arudi darasani kwa hizo senti anazopata sasa kwa boss wake ili siku dimond akiporomoka kimziki elimu imsaidie
 
kwanza hongera bwana daimondo kuendelea kuwa nominated usichoke na matokeo kwani siku moja ushindi upo,back to other artist naomba mzidishe ubunifu kwan just imagine hawa temba na mwenzie chege wanakuwa nominated the same category na toofan gweta while nyimbo yao mpya featuring malomboso dancing zao ni copy na kupest za toofan guetta,unategemea kuna kushinda hapo????poor dem suckers

Mkuu kweli hilo unaloliongea?
 
hahahahaaahh..!! Siwezi acha muongelea nisiye mpenda coz najiskia raha muongelea..
okey then, that is what called extra ordinary LOVE to him, u see huwezi jizuia kumuongelea kwani daimond ni shida ya taifa kwa sasa.
 


kwa kiwangu cha hali ya juu,diamond ameonesha nini maana ya artist to work hard, Tanzania tumekuwa tukibeza mafanikio ambayo hatujayazoea, tulizoea kuwa watu wa kuachwa mbali kwa muda mrefu,si katika soka,ngumi,riadha na michezo mingine mingi.

Tunatawaliwa na siasa katika kila jambo linalohitaji ufundi, wanaojitokeza kubeza mafanikio ya Diamond ni wale ambao hawalitakii mema taifa katika sanaa kwa ujumla, wakimaanisha wao furaha yao ni kuona hatutambuliki na tunashangilia mataifa mengine katika mafanikio yao.

Haiingii akilini msanii wa Tanzania anafanya vizuri Mtanzania ageuke kikwazo.




Mbona unatushambulia sana mkuu?, watanzania sisi tumekukosea nini?.
 
Haya nasubiri hilo balaa ina hao waandaji tuzo hawajasikia balaa la mwana! !?

we dada mbona hueleweki???umeona nyimbo huyo kitorondo iliomfanya kuwa nominated au unaswampa bure humu JF,mwana ya Ally K imetoka lini??
 
Eti Heaven on Desert ni kweli boss wako anataka kumuoa meyninah???Wewe kama afisa habari tuthibitishie hili
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom