Akiwa na Miaka 31 Chama ni sawa na Domayo

Simba umri hauwezi ukawaathiri ghafla namna hii, timu inaathiriwa na general lack of form ambayo ni phenomenon ya kawaida ktk mchezo huu wa soka.

Pia kuna poor organization ambayo inafanya timu ipoteze concentration na hili la pili wakilifanyia kazi bado wataweza kupata matokeo ndani ya muda mfupi ujao.
 
 
Mkuu Simba ni mbovu lakini kwa Chama hapana unamuonea.
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…