Akiwa na umri wa miaka 40, tai anakabiliwa na chaguo la maisha au kifo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Maisha hubadilika kabisa
Kucha zake huwa ndefu sana na zimepinda - haziwezi tena kushika mawindo ya wanyama
Mdomo wake unapinda sana - hauwezi kurarua chakula.
Manyoya ya kifua na mabawa yake huwa mazito sana na kumfanya asiweze kuruka juu sana

Sasa tai ana chaguzi mbili tu:
kufa… au vumilia mabadiliko marefu, yenye uchungu.

Hapo sasa ili aendele kuishi inabidi arudi kwenye kiota chake mlimani
Huko, huanza mchakato mgumu na wa kikatili wa kuzaliwa upya.

Huupigiza mdomo wake kwenye mwamba hadi hupasuka.
Kisha anasubiri. Polepole, kwa uchungu, mdomo mpya ukue...
Kwa mdomo huo huurumia huchomoa kucha zake kuukuu - moja baada ya nyingine.
Na mara baada ya hizo kuota tena, tai huzitumia kung’oa manyoya mazito kutoka kifuani na mbawa zake.

Siku 150 za mapambano. Maumivu. Kujitenga upweke na uKimya.

Lakini wakati mchakato ukiisha - hubadilika marq dufu
Huzaliwa upya.
Nguvu zaidi. Imara zaidi
Na huishi tena kwa miaka 30 mingine

Wakati mwingine, ili kuishi muda mrefu ni lazima tubadilike.
Mabadiliko mara nyingi huja na hofu, usumbufu, hata huzuni.
Lakini kung'ang'ania kile ambacho hakitutumii tena - tabia za zamani, mifumo yenye sumu, imani zilizopitwa na wakati - hutulemea na kutulemaza
Ni wakati tu tunapoachilia mizigo ya zamani ndipo tunaweza kupanda katika katika viwango vipya

Maumivu ya mabadiliko ni ya kweli - lakini pia ni nguvu ya kuzaliwa upya.
FB_IMG_1747117361257.jpg
 
View attachment 3332355
Hii nimeipenda... kuna mengi ukiitafakari
 
Ipo wazi kama No reform no Election... 😊 😊 😊 😊
 
Thats why siwezi kupita bila kusoma uzi wako wowote ule, Salute sana kwako Mkuu.
 
Back
Top Bottom