Akiwa nje ya nchi, amezingatia tahadhari

But she can atleast pronounce "Tanzania", hospitality, meticulous, sudden, untimely" etc etc very well 😎 . This was an "A+"performance. Jiwe asingeweza kuflow hata 5% ya huyu Mama
Likewise the oratory performance of Kikwete was incredibly well, but on service delivery performance, tuliambulia za uso.
 
Leo Rais Samia akiwa Uganda, ameonekana kwa mara ya kwanza [kwa nijuavyo mimi] akiwa amevaa barakoa. Maajabu!

Pia, akiwa huko na mwenyeji wake, pamoja na kuvaa barakoa, ule ukaaji wa mbalimbali pasipo na kurundikana na kujazana kwenye sehemu moja nao umezingatiwa.

Nitpicking: she doesn’t pronounce ‘invitation’ and ‘demise’ properly 🤣🤣🤣🤣.

Buckle up ladies and gents...we could be in for another funny and bumpy ride.

If we made fun of him, we certainly can make fun of her.

Ukirudi chamwino ufundishe watumishi kuvaa barakoa.
 
Nitpicking: she doesn’t pronounce ‘invitation’ and ‘demise’ properly 🤣🤣🤣🤣.

Buckle up ladies and gents...we could be in for another funny and bumpy ride.

If we made fun of him, we certainly can make fun of her.

..sijui kwanini team Magufuli ndio mnaongoza kwa chuki dhidi ya Mama Samia Hassan.

..hebu elezeni alichowakosea Mama Samia Hassan ni nini.
 
Yaan wana hasira kama kawalia chao asee[emoji848][emoji848]
 
..sijui kwanini team Magufuli ndio mnaongoza kwa chuki dhidi ya Mama Samia Hassan.

..hebu elezeni alichowakosea Mama Samia Hassan ni nini.
Hata Magufuli tulimcheka kwa Kiingereza chake!

Unabisha?
 
..na watetezi wa Magu mlisema haikuwa sahihi kumcheka kwa kuongea kiingereza kibaya.

..sasa nashangaa mliokuwa mkitetea kiingereza cha Magu, mko mstari wa mbele kukibeza kiingereza cha Rais Samia Hassan.

..team Magufuli inabidi mtueleze Mama Samia Hassan amewakosea nini.
 
JokaKuu acha kunizushia mambo. La, usinijumuishe na wengine.

Mimi mbona nimemcheka sana Magufuli kwa Kiingereza chake humu?

Hebu nionyeshe mahali ambapo mimi nilikitetea Kiingereza chake, tafadhali.

Huwa nakuona uko mtu ambaye uko fair minded. Someone whom I can at least reason with even if I disagree with you.

Usinizushie mambo aisee. Usiwe mzushi.

Nionyeshe mahali ambapo nilimtetea Magufuli kwa Kiingereza chake kibovu.
 
Nadhani akirejea na huku atatutaka tuvae barakoa sasa.
 
JokaKuu acha kunizushia mambo. La, usinijumuishe na wengine.

Mimi mbona nimemcheka sana Magufuli kwa Kiingereza chake humu?

Hebu nionyeshe mahali ambapo mimi nilikitetea Kiingereza chake, tafadhali.

Huwa nakuona uko mtu ambaye uko fair minded. Someone whom I can at least reason with even if I disagree with you.

Usinizushie mambo aisee. Usiwe mzushi.

Nionyeshe mahali ambapo nilimtetea Magufuli kwa Kiingereza chake kibovu.
..uliyosema ni kweli.

..nakubali kwamba sijakutendea haki.

..mimi ni binadamu na wakati mwingine hukosea.

..naomba RADHI.
 
..na watetezi wa Magu mlisema haikuwa sahihi kumcheka kwa kuongea kiingereza kibaya.

..sasa nashangaa mliokuwa mkitetea kiingereza cha Magu, mko mstari wa mbele kukibeza kiingereza cha Rais Samia Hassan.

..team Magufuli inabidi mtueleze Mama Samia Hassan amewakosea nini.
JK,
Of all people wewe usiwe mtu wa kunizushia mambo bana!

Ona hapa mimi na wewe tukikubaliana kuwa Kiingereza cha Magufuli ni kibovu!

Au siyo mimi na wewe hapo?

BA55BD35-E3C7-488D-A4BC-114162EF6A50.jpeg
FA72D422-35E0-4048-9EC1-4D1F2C64AFA5.jpeg
 
..uliyosema ni kweli.

..nakubali kwamba sijakutendea haki.

..mimi ni binadamu na wakati mwingine hukosea.

..naomba RADHI.
2017 mimi nilikubaliana na wewe kuwa hata Godbless Lema anazungumza Kiingereza ‘vizuri’ kuliko Magufuli licha ya yeye [Lema] kutokuwa hata na shahada moja!

Hii ilikuwa ni baada ya Lema na Msigwa kufanya mazungumzo na KTN...

Come on man. The least you can do is be fair and I know you are capable of it!!
 
Atleast she tried.

Leo Rais Samia akiwa Uganda, ameonekana kwa mara ya kwanza [

Nitpicking: she doesn’t pronounce ‘invitation’ and ‘demise’ properly [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Back
Top Bottom