Akon aongeza moto kwenye Petroli

Akon aongeza moto kwenye Petroli

Bakalalwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
748
Reaction score
1,217
"Nilipopata kwa mara ya kwanza takribani bilion 3 ,niliwapa mama na baba yangu zaidi ya milioni 400 kila mmoja na mwanamke wangu akaachana namimi kwa sababu nilimpa milioni 13 tu." __ Akon

"Nilipopata bilion 3 yangu ya kwanza kutoka kwenye muziki, nilifurahi sana kwamba nilitumia kila kitu haraka sana. Kitu cha kwanza nilichonunua ni studio ili ikiwa kila kitu kitashindikana, niwe naandika na kutengeneza rekodi za wasanii wengine.

Nilitumia takriban m 680 kwenye seti hiyo ya studio. Kisha nikachukua m 400 na kumpa mama yangu, nikachukua ml 400 nyingine na kumpa baba yangu, na kuwapa ndugu zangu wote kama m 68 kila mmoja ili aweze kuanzisha biashara. Na wakati mpenzi wangu alipokuja kugundua kuhusu hilo, yeye akataka nimpe milion 545 Lakini mimi nilicheka tu na kumpa milion 13 kwa sababu siwezi kamwe kumpa mwanamke zaidi ya 2% ya jumla ya fedha yangu.

Baada ya kuona hivo akaamua kuachana na mimi kwa sababu niligundua kuwa anataka pesa tu na sio mimi. Jambo ni kwamba ikiwa unataka kuendelea kuwa tajiri kama mwanaume, lazima uwe mchoyo zaidi na hawa wanawake. Akon

NB : kiasi hicho cha pesa ni katika US DOLLAR sema hapo nimeconvert kuwa Tsh ili ieleweke vizuri kile Akon anasema.
 
Kumbe inatakiwa kuhonga 2% ya fedha zako zote, ila hajasema inatakiwa kuhonga mara ngapi kwa siku au mwaka!!
Ni 2% ya pesa zako zote kama una mshahara wa 1 million kwa mwezi unatakiwa kuhonga elfu 20 tu..sasa kama wewe ni mfanyakazi wa oya na mshahara wa laki 300,000 we onga mwisho elufuu sita tooop!!
 
Back
Top Bottom