Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ana akili nyingi sana."Nilipopata kwa mara ya kwanza takribani bilion 3 ,niliwapa mama na baba yangu zaidi ya milioni 400 kila mmoja na mwanamke wangu akaachana namimi kwa sababu nilimpa milioni 13 tu." __ Akon
"Nilipopata bilion 3 yangu ya kwanza kutoka kwenye muziki, nilifurahi sana kwamba nilitumia kila kitu haraka sana. Kitu cha kwanza nilichonunua ni studio ili ikiwa kila kitu kitashindikana, niwe naandika na kutengeneza rekodi za wasanii wengine.
Nilitumia takriban m 680 kwenye seti hiyo ya studio. Kisha nikachukua m 400 na kumpa mama yangu, nikachukua ml 400 nyingine na kumpa baba yangu, na kuwapa ndugu zangu wote kama m 68 kila mmoja ili aweze kuanzisha biashara. Na wakati mpenzi wangu alipokuja kugundua kuhusu hilo, yeye akataka nimpe milion 545 Lakini mimi nilicheka tu na kumpa milion 13 kwa sababu siwezi kamwe kumpa mwanamke zaidi ya 2% ya jumla ya fedha yangu.
Baada ya kuona hivo akaamua kuachana na mimi kwa sababu niligundua kuwa anataka pesa tu na sio mimi. Jambo ni kwamba ikiwa unataka kuendelea kuwa tajiri kama mwanaume, lazima uwe mchoyo zaidi na hawa wanawake. Akon
NB : kiasi hicho cha pesa ni katika US DOLLAR sema hapo nimeconvert kuwa Tsh ili ieleweke vizuri kile Akon anasema.
Kama nawaona vile wanawake wanavyonuna2% zingatia hapo yaani ukipata 10,000/= inatakiwa uhonge 200
2% ya hela unayopata ndo fomulaKumbe inatakiwa kuhonga 2% ya fedha zako zote, ila hajasema inatakiwa kuhonga mara ngapi kwa siku au mwaka!!
Nimemuelewa sana hapaJambo ni kwamba ikiwa unataka kuendelea kuwa tajiri kama mwanaume, lazima uwe mchoyo zaidi na hawa wanawake.
ni 2% tu Mungu mwenyewe anachukua 10% wao wachukue nyingi wamemzidi Mungu?Kama nawaona vile wanawake wanavyonuna
Hili nalo neno aisee....dah umebifungua macho.ni 2% tu Mungu mwenyewe anachukua 10% wao wachukue nyingi wamemzidi Mungu?
Anakadiriwa kuwa na utajiri wa Dola Milioni 40 mpaka milioni 80Kwahiyo sahivi kabakiza milioni ngapi? Afu yuko wapi kwani....
A Woman who doesn't ask for anything, She deserves everything. Huyo Mwanamke alikuwa ni Materialistic tuAngepokea na kushukuru, kuna wanaume wengine hawatoi hata hela ya leso. Shauri zake na ujinga wake.
Mwanaume anaetoa hela bila kuombwa hata kama kidogo ni wa kumuheshimu sana. Shauri zake mwenyewe.A Woman who doesn't ask for anything, She deserves everything. Huyo Mwanamke alikuwa ni Materialistic tu
Una akili sana We Mwanamke. 😄😄😄Mwanaume anaetoa hela bila kuombwa hata kama kidogo ni wa kumuheshimu sana. Shauri zake mwenyewe.