Akon apigwa "stop" Sri Lanka

JM Aristotle

Senior Member
Joined
Mar 9, 2010
Posts
163
Reaction score
4
Msanii wa kimarekani, Akon; amelazimika kuhairisha tamasha lake lililokuwa lifanyike nchini Sri Lanka, baada ya serikali ya nchi hiyo kumnyima visa.

Kisa hasa ni kutokana na wimbo wa "Sexy Chick", ambao kwenye 'shooting' ulimwonesha mwanadada mmoja akicheza nusu-uchi mbele ya sanamu ya buddha.
Tukio hili liliwasikitisha sana wakazi wa Sri-Lanka, ambao wengi ni wa Imani ya ki-buddha.

Zaidi ya watu 200, waliandamana ndani ya mji wa Colombo, wakibeba mabango yaliyoandikwa, "Stop Akon Now". Na, mpaka sasa kuna kundi kwenye facebook linaloitwa "We hate Akon"

Lakini, yeye mwenyewe Akon, alijitetea kwa kusema, hakuwa na nia yoyote mbaya ya kuichafua dini hiyo.
Kwa habari zaidi, waweza kufuatilia link hii; http://www.cbc.ca/arts/music/story/2010/03/24/akon-sri-lanka-concert.html
 

Attachments

  • akon-video-screen-shot_453x274.jpg
    9 KB · Views: 101
  • akon-and-david-guetta_453x284.jpg
    16.6 KB · Views: 101
wooooooooy wwwoy woy; nimechungulia hiyo pic aisee hata mimi ningegadhibika ni kama mockery flani hivi kwenye imani ya wenzio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…