Akopea nyumba ya jirani Milioni 200 kwa Hati Feki. Malalamiko yalifika hadi Ikulu danadana nyingi


Ni upumbavu sana Kama Mahakama imeridhia then unaenda Ikulu?!?

Hakuna Bank inafanya kazi ya hasara na sijui gari fake!

Hao wanajua kuna story zaidi inayowapa hao uhalali wa kukopa
 
Nilichojifunza hapo ukishikwa na polisi jititie tena ikiwezekana mix na kujikojolea, watakuachia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…