Our Tanzanian women have to run off from this fucking behaviour, They have to change. I have tried to understand what Hamisa needs. But, Till now I haven't yet got an answer. Good advice from Akothee.
kuuchuna kuna manufaa gani?hamisa mjinga yule mtoto,yani rav4 na milliom ngapi zile kafumbua domo angetulia apige hela nzuri,...akumbuke ao wakina zari wana mahela yao na wana magari ya kifahari tena sio yakununuliwa,...mwanaum kutombesha kawaida ata ww unatombewa tu kwaio angechuna tu mbna kuzalishwa si ajabu,...sasa yy ameona dili kwelikweli
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23][emoji28]Akajifunze kwanza kusugua miguu ndiyo aje atoe kitchen party.
You have his son, Back then we have understood. Get the https://jamii.app/JFUserGuide-off. Mbona simple tu.Attention seeker from ghost followers
Ndo anachokitaka
Kwan kelvin hart ni mwanamke?ujumbe wa akothee unamhusu mwanamke(hawara mshamba)
Mkenya amchane mtu wa majuu.huo ujumbe ataupata saa ngapi sasa. Huu ujumbe wa east africa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rav4 inawatoa povu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hamisa kajua kuwatesa
Angenunuliwa ferrari east africa wangekesha wanaomboleza
kimsingi amemshangaa kwa mbinu ya kifala aliotumia huyo Hamissa,na kashauri nini kingefanyika ili Hamissa atusue(brains ndo key - na ni kama ana insinuate kua Hamissa hana hiyo brain ilio smart!).wala hajajiweka kuwa bora zaidi ya Hamissa au kusema ye sio mwizi n bla blah.Kila mtu ana njia zake za kucheza game ili atoke,kwa Hamissa bahati mbaya imefail....
Huyo akothee nae apaswi kumsema hamissa maana nae utajiri wake umetokana na wanaume.
Wote ni magold digger tu sema yeye keshatusua.
sio lazima kupitia hiyo njia wanayotaka wao, huyo hamissa anawashangaa wanaomlaumu akiwemo huyo akothee!! yeye ni mtu mzima anajua anachokifanya, tatizo siku hizi watu wanapenda kuwapangia wenzao maisha.kimsingi amemshangaa kwa mbinu ya kifala aliotumia huyo Hamissa,na kashauri nini kingefanyika ili Hamissa atusue(brains ndo key - na ni kama ana insinuate kua Hamissa hana hiyo brain ilio smart!).wala hajajiweka kuwa bora zaidi ya Hamissa au kusema ye sio mwizi n bla blah.
Tena huyo mcanada mwenyewe ni kibabu, akwendwe huko ye aseme tu alikuwa ana mahesabu na baba Nillan hamisa kamuwahiHuyu Akoth ni professional golddiger haswaa Africa mashariki nzima.
Pamoja na kwamba huyu demu ni mbaya lakini anajua kucheza na akili za mwnaume vibaya mno kwa manufaa yake.
Huyu hata zari_the_boss_lady hafiki hapa kwa usupasta na kuchuna mabwana.
Ana mkwanja hatari huyu demu, na huo mkwanja kuna mcanada aliingia kichwa kichwa hapo akatangaza ndoa, baada ya ndoa tu demu akamtengenezea mazingira ya kuivunja hili wagawane mali, na mission ikawa successful Leo hii ni msanii tajiri Kenya.
Acha kabisa huyu demu ni namba nyingine na kwa hayo maelezo yake hapi, anatamani hili gap la hamisa angelipata yeye.
Sura ngumu vile kwa nn asijielewe?Huyu Akothee huwa anajielewa sana.Sishangai HEKIMA kama hizo kumtoka