Akothee atoa kitchen party kali kwa wanawake wa kitanzania hasa hamisa mabeto

Akothee atoa kitchen party kali kwa wanawake wa kitanzania hasa hamisa mabeto

Our Tanzanian women have to run off from this fucking behaviour, They have to change. I have tried to understand what Hamisa needs. But, Till now I haven't yet got an answer. Good advice from Akothee.
 
Ww angalia wanawake wa kizaramo kwny uzi huu wameshaanza kugombana
 
Attention seeker from ghost followers
Ndo anachokitaka
Our Tanzanian women have to run off from this fucking behaviour, They have to change. I have tried to understand what Hamisa needs. But, Till now I haven't yet got an answer. Good advice from Akothee.
 
hamisa mjinga yule mtoto,yani rav4 na milliom ngapi zile kafumbua domo angetulia apige hela nzuri,...akumbuke ao wakina zari wana mahela yao na wana magari ya kifahari tena sio yakununuliwa,...mwanaum kutombesha kawaida ata ww unatombewa tu kwaio angechuna tu mbna kuzalishwa si ajabu,...sasa yy ameona dili kwelikweli
kuuchuna kuna manufaa gani?
hivi kuna haja gani ya kuzaa mtoto asifahamika baba?
nyinyi nyinyi wabongo ndio mngeanza ooh mtoto hana baba maalumu.
mtoto lazima afahamike dunia ijue,kuna leo na kesho
mara baba puuh, ahesabiwe haki zake..
tusiishi kwa kukariri jamani, ajifiche au atangazie dunia mond huduma atatoa ile ile tena hata ya kuzidi....
Mwacheni mtoto wa watu jamani alee mtoto wake ,huyo zarina kayafanya mangapi? mond je?
 
🙁 tutakoma mwaka Huu.
IMG_20170925_084450_990.jpg
 
Kila mtu ana njia zake za kucheza game ili atoke,kwa Hamissa bahati mbaya imefail....

Huyo akothee nae apaswi kumsema hamissa maana nae utajiri wake umetokana na wanaume.

Wote ni magold digger tu sema yeye keshatusua.
kimsingi amemshangaa kwa mbinu ya kifala aliotumia huyo Hamissa,na kashauri nini kingefanyika ili Hamissa atusue(brains ndo key - na ni kama ana insinuate kua Hamissa hana hiyo brain ilio smart!).wala hajajiweka kuwa bora zaidi ya Hamissa au kusema ye sio mwizi n bla blah.
 
sio lazima kupitia hiyo njia wanayotaka wao, huyo hamissa anawashangaa wanaomlaumu akiwemo huyo akothee!! yeye ni mtu mzima anajua anachokifanya, tatizo siku hizi watu wanapenda kuwapangia wenzao maisha.
 
Huyu Akoth ni professional golddiger haswaa Africa mashariki nzima.

Pamoja na kwamba huyu demu ni mbaya lakini anajua kucheza na akili za mwnaume vibaya mno kwa manufaa yake.

Huyu hata zari_the_boss_lady hafiki hapa kwa usupasta na kuchuna mabwana.

Ana mkwanja hatari huyu demu, na huo mkwanja kuna mcanada aliingia kichwa kichwa hapo akatangaza ndoa, baada ya ndoa tu demu akamtengenezea mazingira ya kuivunja hili wagawane mali, na mission ikawa successful Leo hii ni msanii tajiri Kenya.

Acha kabisa huyu demu ni namba nyingine na kwa hayo maelezo yake hapi, anatamani hili gap la hamisa angelipata yeye.
Tena huyo mcanada mwenyewe ni kibabu, akwendwe huko ye aseme tu alikuwa ana mahesabu na baba Nillan hamisa kamuwahi
 
What Mobeto did is Biblical. It is what Hagar did when she begot Ishmael, she started despising Sarah. All men should understand that a 'side chick' will always strive to undermine the 'main chick'.
 
Huyu huyu aliyekuwa anadanga kwa wazungu hadi akatajirika. Ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom