Akothee nini mbaya na wewe? Unaboa aiseeh

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Jamani namfollow huyu bidada insta , Ila siku hizi anaboa na post zake za ulimbukeni na wazungu wake , mpaka mda mwingine natamani kabisa kum unfollow sema na Mimi kupenda umbea sasa mxieew .... yani kila siku ye post zake ni akina baba ojwang mara baba oyoyo wamefanya hvi hvi , anajichekesha kama tahira, sijui anaonaga sifa sana kuzaa na hao wazungu , yani ndo imekua topic kila siku , Mara ojwang kanipa nyumba, Mara baba yoyo ananipenda, halafu at the same time Ana date mtu mwingine , na huyo mwanaume atakua na moyo kwa kweli , au watakua wote mitambo kama sio yupo kimaslahi.

Akothee zaman alikua Anani inspire sana , especially story yake ya maisha mabovu aliyopitia, kunyanyaswa na wazungu , kudharauliwa mpaka kufikia maisha ya kifahari anayoishi now , akothee alikuaga dereva dala dala mombasa , ninachomkubali Mimi ni fighter Hana aibu kwenye kutafuta pesa, alikua mpaka dancer kwenye Ma club , naona ndo alipopata danga la kizungu bibie ndo kusafir nje na danga, mengine siri yake mpaka kuja kufanikiwa.


Ila siku hizi tena wazungu hao hao waliomuona fala na kumdhalilisha japokua alifaidika, maana kuna mzungu mwingine alibebaga mimba yake , mzungu akakataa akamwambia arudi kwao africa atampa kiasi chochote cha pesa anachotaka, bibie akaomba dolla million moja kama sikosei, ndo apo bibie akaanza ku invest kwenye biashara, uzuri alikua na akili za biashara, Ila ndo mapepe tu kama dada yetu shishi.

Akotheee atambue watu wamemfollow kwa ajili ya muziki wake , hayo mambo ya ku date na wazungu, kila siku kupost habar za akina ojwang na baba yoyoo it's just too much , yani akothee anaboa mpaka yeye mwenyewe anajua kuwa anaboa, yani bado Ana ulimbuken na wazungu , wazungu wake wenyewe kama wanaugua kifafa , vizee havina hata swagga , ashukuru tu Mungu sio Athman na yeye kaangukia

Yan huyu dada akiendelea hivi , hawez pata mtu wa kudate wala kuoa na team yake ya mpira, nani anaweza vumilia ujinga wa mwanamke Kama akothee, yan nilikua namuona wa maana sana , Ila siku hiz sijui karukwa akili au vip, jiran unaboa bana badilika
 
Mimi sipendi vile vinguo anavaa akiwa stegin,tako jeusi ka langu lakini bado yumo tu nauku mwenzie nalifichaga karibia ata nguo nane nikiwa na bebe sembuse walimwengu.
 
Sema bina ukisikia madanga yenye akili mjini hakosi tano bora. sio wengine wanazeeshwa tu kwa sent za mikoba na kurepewa mwili
 
Hata sisi wazungu walitutawala mpaka tukawa watumwa kwenye nchi zetu, lakini sasa hivi ndio wawekezaji , hivyo basi mwache akothee afanye yake hakuna adui wa kudumu duniani , ata kifo kuna watu wanakipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…