Aksante Aishi Manura.

Aksante Aishi Manura.

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Huwa sifuatilii mpira, lkn leo baada ya kutoka mazoezi, nikahamasika kwenda kuwashuhudia wachezaji wetu.

Wamejitahidi, LAKINI naomba nitambue umhimu wa kipekee wa goal keeper wa leo Aishi Manura. Kama siyo yeye huenda tungetandikwa hata goli 10.

Uimara wake umepelekea hadi wachezaji mahiri wa nigeria kumheshimu, ikabidi waombe sub tu akiwemo Michael Obi.

Aishi Manura, umefanya kazi, na hautotoka akilini mwa wanigeria.

Naamini mawakala wa wachezaji wamekuona, nakuombea kila la heri shujaa wangu wa leo.

Mungu akubariki[emoji460]
 
Kijana amejitahidi sana japo tumefungwa naungana nawe kumpongeza bila kuwa na programme nzuri yakukuza na kuvitunza vipaji safari yetu ni ndefu wenyewe walikuwa na ighalo pia Ahmed mussa wa Leicester city obi na moses wa Chelsea sisi n samatta peke yake ndio mchezaji mkubwa
 
Kweli mkuu. Mfano kuna wale wachezaji wa copa America kama wangeendelezwa, leo tungekuwa tunaongea story nyingine.

Kuna hawa under 17 waliowatwanga Africa kusini, wakiwekwa kambini baada ya muda tutaongea habari nyingine.
 
Edit hapo penye America ingawa mimi nimekuelewa kuna wengine utawachanganya.Siku zote vipaji hutunzwa bila hivyo michezo haina njia ya mkato
 
Kweli mkuu. Mfano kuna wale wachezaji wa copa America kama wangeendelezwa, leo tungekuwa tunaongea story nyingine.

Kuna hawa under 17 waliowatwanga Africa kusini, wakiwekwa kambini baada ya muda tutaongea habari nyingine.
We mzee umesema copa nini?
 
Back
Top Bottom