ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Huwa sifuatilii mpira, lkn leo baada ya kutoka mazoezi, nikahamasika kwenda kuwashuhudia wachezaji wetu.
Wamejitahidi, LAKINI naomba nitambue umhimu wa kipekee wa goal keeper wa leo Aishi Manura. Kama siyo yeye huenda tungetandikwa hata goli 10.
Uimara wake umepelekea hadi wachezaji mahiri wa nigeria kumheshimu, ikabidi waombe sub tu akiwemo Michael Obi.
Aishi Manura, umefanya kazi, na hautotoka akilini mwa wanigeria.
Naamini mawakala wa wachezaji wamekuona, nakuombea kila la heri shujaa wangu wa leo.
Mungu akubariki[emoji460]