Aksante tigo kwa kunidanganya

Aksante tigo kwa kunidanganya

Milindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2009
Posts
1,468
Reaction score
751
Mmeniambia internet bure kwa siku mbili mbona inatafuna Salio langu? Acheni hizo uongo mbaya .........
 
Mimi pia wamenambia bure kwa siku mbili kwa sababu ya matatizo ya kiufund yalotokea jana wakanipa maelekezo tuma nena tigo kwenda 15166 cha ajabu nkituma wananambia alama uliotuma sio sahihi kwa kwel hawa jamaa mi siwaelewi au wateje wa tigo tuandamane nini?
 
Jana ilikuwa 15166,Leo tena 15514 ngoja tuone kama wataendeleza uongo wao.
 
Wameendeleakkutafuna salio langu. AKSANTENI SANAAAA TIGO
 
Tigo imewatafuna eee? Tigo inatafunwa sasa hivi sisi tumehama.
 
washenzi sana hawa hata mimi jana wamenitumia, sikupata chochote ..leo tena wamenitumia lakini hakuna chochote...wangejua nimewaweka kwenye danger-zone wasingeendelea kunikasirisha.
 
TiGO ni wezi. Kwanini msihame huo mtandao! Karibu Airtel.
 
Mbona Mi Hawakati Hz Ela.?| walini txt leo nikajiunga kwa kuandika TIGO kwenda 15514, wakani reply
 
Back
Top Bottom